Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Uncle "J" Julius Nyaisanga ameishatangulia mbele za haki kama miaka 2 hivi iliyopita
 
Iwe ni kwenye Radio au TV. Me naanza na hawa;

Misanya Dismas Bingi
Julius Nyaisanga "Anko Jay"
Halima Mchuka

Karibu uendelee...
 
Mi enzi hizo ITV, kuna mdada anaitwa Consolata Godfrey, alikuwa ripota. Yani nlikuwa napenda sana alivyokuwa anasign out- Consolata Godfrey, I T V, kama anavuta flani hivi, so nice.

Wengine ni ABD na Rose Chitala, walikuwa na kipindi chao, yani matani meeengi. Hadi wanabadilishana majina, inakuwa Abdallah Chitala na Rose Mwaipaya,,
 
Kunajamaa alikuwa kiss fm sijui alipotelea wapi
yule jamaa,alikuwa anajiita Toby the splash,kipaji
kipo kwao duuuh,alikuwa vizuri.
Wasalaam
 
Watangazaji, Reporters wa ITV Michezo Hemed Kivuyo; Na Masau Bwire Nadhani Independent reporter, Hawa wawili Ni Burudani

Tosha Ukiwasikiliza.
 
Kunajamaa alikuwa kiss fm sijui alipotelea wapi
yule jamaa,alikuwa anajiita Toby the splash,kipaji
kipo kwao duuuh,alikuwa vizuri.
Wasalaam

Mkuu umenikumbusha huyo jamaa ilikuwa nikufungua kiss fm nikimsikiliza sichoki.. yupo vizuri sana.
 
Abdul ngarawa
juma ngondae
seif nkamba
suleiman hegga
salim mbonde
ahmed jongo
mshindo mkeyenge
goodfrey mgodo
jacob tesha
david wakati
salama usamao
nassoro isekeli
nadhir mayoka
sekiy?ni kitoje
chisunga stephen
ben kiko
siwatu luanda
ahmed kipozi
halima kihemba
muhammed dahman
muhammed abdulrahman
suleiman mhongora
stephen kaiza
 
Abdul ngarawa
juma ngondae
seif nkamba
suleiman hegga
salim mbonde
ahmed jongo
mshindo mkeyenge
goodfrey mgodo
jacob tesha
david wakati
salama usamao
nassoro isekeli
nadhir mayoka
sekiy?ni kitoje
chisunga stephen
ben kiko
siwatu luanda
ahmed kipozi
halima kihemba
muhammed dahman
muhammed abdulrahman
suleiman mhongora
stephen kaiza

Nimemkumbuka sana DAVID WAKATI huyu mzee Alikuwa noma sana Kuandaa documentaries hana papara kuongea sio watangazaji wa cku hiz wanabwatuka bwatuka 2
 
Fauzia aboud
Edda sanga
Abysai Stephen
Stephen ponera
Sarah dumba
Omar kipozi
 
Back
Top Bottom