Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

poleni na majukumu wana jamvi leo nmekumbuka redio yetu ya taifa ambao zamani iliitwa radio tanzania hasa nlichokumbuka kipindi cha salamu kwa wagonjwa kombola na kipindi cha watoto wetu.
Mwana jf wa kipindi kile unakumbuka kipindi gani???
 
Juma Nkamia, sele Mhogora
 
Hivi Josephine Liumba naye ashakuwa Mkongwe? Ghanie Jumbe nae pia...

Ukishakaa eneo moja la kazi kwa zaidi ya 10 years Tayari unakuwa mkongwe au mazee?
 
Kwenye utangazaji Masoud Masoud si Wa muda mrefu kulinganisha na hao uliowataja, alichipukia kwenye mambo ya u DJ miaka ya 80, nakumbuka alikuja Msasani beach club na Studio 35 baada JETSET kumaliza mkataba, wakati huo akijiita NIGA JAY, Niko tayari kusahihishwa
 
P & P company limited.
Old good days.
 
Shida Masaba - Lea mwana, Elecia Isabula - Leo katika Bunge Dodoma, Fainali uzeeni - Malima Nderema.
 
Wakuu km kuna mtu ana tune mbalimbali za viashiria vya vipindi rtd enzi zile aziupload bas
 
Namkumbuka huyu mama akikuwa anaitwa hilda mtenzi alikuwa anaripoti kutoka Iringa(rip) nadhani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…