Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Mwenye picha ya babra wa cloud aitupie hapa. Napenda sauti yake
 
Charles Hillary, mambo mpwito mpwito, mama Salah Dumba - mama na mwana enzi hizo - RTD
 
Chilambo Dominic r.i.p,Ahmed Jongo,Abdallah Majura na sasa Wambura Mtani R.F.A
 
Ezekiel Malongo,huyu sijui yuko wapi sasa hivi?,walikuwepo akina Marehemu Ben Kiko r.i.p.Wapo akina Wambura Mtani,Juma Baraghaza,wote ni.kutoka RFA.
 
Jacob Tesha, David wakati, Debor Mwenda, Julius Nyaisanga, Taji Liundi,(RTD) Umri Heri -DW, Gadne Habash, Charles Hilary
 
Back
Top Bottom