Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Ninatizama dirishani ohoo, naona ni mvua inanyesha oho hakuna kilichobakia oho ila ni huzuni na uchungu ehe, mwingine ni Asha usifate mambo ya dunia asha wewe kumbuka wemaaa Tabora jazz. Tulikuwa tunakacha Math siku nyingine na physics ili kusikia vigongo hivyo. Mhu.
Mi nakumbuka nilikua ndo mtoto so kutumwa mara dukani mara kanunue mkaa mara nenda kwa flan.... Pia wakubwa walikua wananichukua natoka nao ili wapate gia ya kwenda kuonana na wapenzi wao [emoji28] [emoji28] [emoji28] eti mzazi asiwafikirie vibaya mi mdogo Naenda nao hahahaa hahahahahaah
 
Nilipenda External Service sana nikiwa likizo nilikuwa namsikiliza Eda Sanga akituma salam na miziki ya akina Michael Jackson, Cool and the Gang, Bonny M halafu habari toka wapigania uhuru waliokuwa wanatumia External kwenye propaganda zao. Hapo uzalendo ulitujaa tunataja kanuni, imani bila kukosea nukta. We baba wee. Yako wapi sasa. Radio nyingi lakini hakuna chochote watoto watajua.
Elimu ya watu wazima, Kilimo chetu, umoja wa mataifa week hiii.
 
Mi nakumbuka nilikua ndo mtoto so kutumwa mara dukani mara kanunue mkaa mara nenda kwa flan.... Pia wakubwa walikua wananichukua natoka nao ili wapate gia ya kwenda kuonana na wapenzi wao [emoji28] [emoji28] [emoji28] eti mzazi asiwafikirie vibaya mi mdogo Naenda nao hahahaa hahahahahaah
Mdogo wangu wa kiume aliipata, kila nikienda likizo yeye ndo bodyguard wangu ili baba asinikatalie.
 
Mdogo wangu wa kiume aliipata, kila nikienda likizo yeye ndo bodyguard wangu ili baba asinikatalie.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mama na mwana kila j2 saa 8 mchana. Mazungumzo baada ya habari kila baada ya taarifa ya habari ya saa1 asubuhi na saa2 usiku
Hivi mama debora mwenda wa kipindi cha mama na mwana alishakufa au?? Nlikua sibanduki redioni kila jpili saa 8 mchana kusikiliza kipindi cha mama na mwana hadithi za kina adili na nduguze
 
Back
Top Bottom