bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Una uhakika? Mwanamuziki wa Cuban Marimba ndiye anayeongelewa.Hakuna Mwanamuziki anaeittwa Juma Kilaz.a
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una uhakika? Mwanamuziki wa Cuban Marimba ndiye anayeongelewa.Hakuna Mwanamuziki anaeittwa Juma Kilaz.a
Mchezo wa mzee Jangala ikidhaminiwa na pombe aina ya chibuku, nakumbuka nyimbo, idara yetu ya uhamiaji nalo jukumu kubwa saanaaaa kuwakaribishaa kuwasafirishaa na kulinda mipaka yetu[emoji441][emoji443][emoji443][emoji445][emoji445]
Watoto wasafi moyonii ni nyoota za macho ya wazaziiiiii[emoji445][emoji445][emoji445][emoji443][emoji443][emoji441]
Shamba aaanii shambaani shambaani mazaoo boora shambaani, haya twendenii shaambanii wananchi tukaalimeee [emoji443] [emoji444] [emoji446] [emoji447]
Wanawakee wa Tanzania wazuuuriii saaaanaaa, wanawakeeee tanzaniaa maendeleo tanzaniaaaa[emoji445][emoji443][emoji441][emoji443][emoji445]
Kuleni chakula boora cha kuujenga muili naku.... Pa kulala pawe boraa[emoji443][emoji445][emoji441]
Wakati umewadia wa salam za wagonjwa hosipitalinii leo tunawapa poleee, ajuaye bwana Mungu kwa mfu kuwa mzima mgonjwa kuwa salamaa leo tunawapa polee[emoji445][emoji445][emoji443][emoji445][emoji445][emoji441]
Wananchiiiii tujifunzeni ushirikaaaaa wananchi tujifunzeni ushirikaaaaa [emoji441][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Jamani vitaa imetangazwaa jamaaa wananchi wote tuwe imara, vijijini na mjini msisite kuwasema walanguzi[emoji445][emoji445][emoji445]
Matangazo sasa
1. Tumaa vifurushiii barua na pesa vitu mbalimbali vifike harakaaa tena kwa uhakikaaa, itumie sasaa shirika la posta na simu tanzaaaaniaaa ndio tegemeo letuu.
2. Hebu jitokezeee jioneshe simamaa mbelee za watuuu
3. Tairi general kutoka arushaaa tanzaaaaniaaa
4. Revolaaa revolaaaaa revolaaaaaa revolaaaaaaaa
5. Wee acha kula mali ya umma wee acha kujitafuna tafuna weeeee, wachaaaaaaaaa
6. Tumia chibuku ndio pombe bora, radha ya chibuku hujulikana, sifa moja na nyinginezo ni kulinda hadhi ya mnywaji
7. Komoooooaaaaa aaa komooooaaaa komoaaaa
8. Benki ya akiba ya posta ndio yako, benki ya akiba ya posta ni kwa watanzaniaaa woooote wakubwa kwa wadogo... Wananchi unaweza kufungua akaunti ya kawaaida, akaunti ya muda na akaunti ya muda maaalum.. Usingoje kesho ooo fungua akaunti yako leooo
Watangazaji hahaha Mama Deborah, Dominic Chilambo
Nimejikuta napata sweet memories tu
Ivi yule jamaa wa mazungumzo baada ya habari na maneno hayo alikuwaga nani maana alikuwa na maneno kuntu sana yule jamaa! Yuko wapi na anajishughulisha na nini?Mazungumzo baada ya habari pamoja na maneno hayoooooo
Atakuwa Juma K.....Juma nani mbona sikuelewi?
Pendoooo linauaa lasumbuaa walimwenguuu walimwenguuu walimwengu pendoooPia kulikuwa na kipindi cha muziki wa mwambao. Taarab laini zina jumbe nzitinzito ndani yake ila wameweka mafumbo mpk unaumia kichwa siku hizi mambo hadharani
Mpendu na Shaban KisuIvi yule jamaa wa mazungumzo baada ya habari na maneno hayo alikuwaga nani maana alikuwa na maneno kuntu sana yule jamaa! Yuko wapi na anajishughulisha na nini?
Wako wapi hawa jamaa??Mpendu na Shaban Kisu
Hata sijui kwa kweliWako wapi hawa jamaa??
DahHata sijui kwa kweli
Jina lake ni Juma nani?Una uhakika? Mwanamuziki wa Cuban Marimba ndiye anayeongelewa.
Juma K.... ndo nani?Atakuwa Juma K.....
anamaanisha Juma K.i.l.a.z.aJuma nani mbona sikuelewi?
Na walah ile jingle yake hadi leo hainitoki masikioni naikumbuka hakikaIle jingle ya majira nilikuwa naipenda sana
Hasa pale inapokaziwa kabla ya instrumental "MAJIRA" ni lazima ufuatisheNa walah ile jingle yake hadi leo hainitoki masikioni naikumbuka hakika