lnspector CP
Member
- Apr 28, 2016
- 76
- 30
Ezekiel Malongo mwenye saut ya pooz na yapekee kwa kutangaza mpira ni hatar pia bila ya kumsaha Halima Mchuka mwanamama wa kwanza kutangaza mpiraWakuu hebu tukumbushane enzi zile za Radio Tanzania, enzi ambazo Radio ndio ilikuwa kila kitu katika suala zima la kupata habari. Tukumbushane watangazaji mahiri wa enzi zile, vipindi vizuri pamoja na vituko mbalimbali ambavyo huwezi kuvisahau enzi za RTD.
Karibuni...