Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Tujikumbushe watangazaji wa zamani wa Redio na TV

Miaka hiyoo uandishi na utangZaji
Mpaka uwe kwenye media ilikuwa
Lazima uwe na taaluma hiyo
Siku hizi mtu yoyote anaye ongea
Sana,sjui komedi mtangazaji,kukubwa aweze kuwasha mic tu

Ova
 
kama sikosei yule mama alikuwa anaitwa deborah mwenda,yaani acha bwana zile ndio zilikuwa enzi za utangazaji,kwa tuliokuwa watoto kipindi kile kukosa kipindi cha mama na mwana ilikuwa kosa kubwa!
Kulikuwa na huyu Khadija Said mdada mwenye sauti nzuri sana, alikuwa akitangaza kipindi ca lala salama kama sijakosea, lazima utalala tu kutokana na kubembelezwa na sauti yake nyororo.
 
Back
Top Bottom