FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Namkumbka marehemu Leonard Mtawa RIP
Kutoka Mwanza Majira ni Mtangazaji wako Leonard Mtawa
Kutoka Mwanza Majira ni Mtangazaji wako Leonard Mtawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu Makah, asante sana kwa hii historia adimu sana na sijui kama imeandikwa popote!.naongeza:
26. ALLY SALEHE - MBILI KASOROBO NA MIDUNDO SAUTI YAKE ILIKUWA KAMA YA MASOUD MASOUD NGULI WA MUZIKI
27. KWEGIER MUNTHALI
hawa walikufa kwa ajali ya gari la Kwegier Munthali likigongwa na treni hapo gerezani /shaurimoyo?? waliopona ni pamoja na HILDA MWAIPOPO - sijui yu wa wapi - nilisikia aliolewa Kenya??
28. KHADIJA SAID - MWANAMKE WA KWANZA MTANGAZAJI - SIJUI KAMA YU HAI - KIPINDI CHAKE CHA WATOTO - MAMA WA KIGOMA HUYU.
umenigusa sana juu ya Salama Mfamao - kuna siku alipiga wimbo do you remember wa phil collins na kamvua kalikuwa kananyunya mahala fulani hadi wa leo ukipigwa wimbo huo huikumbuka sauti yake iliyokuwa nzuri.
29. DEBORAH CHIHOTA badae MWENDA.
30. RAY CHIHOTA
hawa walikuwa mtu na dada yake na mzee wao Chihota alikuwa maarufu Temeke na Serikalini. Ray alikufa kwa ajali ya gari Zimbabwe alikoamua kufuata roots. Ray alikuwa kwenye idhaa ya Kiingereza akiendesha kikundi cha vijana wakiimba Pop. Vijana kama kina Hussein Shebe nk. Pia alikuwa anasoma Taarifa za habari kwa Kiingereza
Mkuu Makah, asante sana kwa hii historia adimu sana na sijui kama imeandikwa popote!.
Amini usiamini licha ya kufanya kazi RTD na kusikia kisa cha vifo vya watangazaji waliogongwa na treni, sikuwahi kuyafahamu majina yao ndio leo nimeyasikia, thanks.
Hata Mama Debora Mwenda sikuwahi kuijua maiden name yake ya Chihota wala her Zimbabwean connection, sasa nimejumlisha moja na moja cha kisa ya yule binti yake bingwa wa keki za harusi kupenda kuolewa na mwanamume wa Zimbabwe tuu!.
Kiukweli hatuna kabisa historia ya utangazaji Tanzania, huyo Khadija Said ndio namsikia kwako!.
Pascal.
Huyu mzee alikuwa ni mnazi mkubwa wa soka la Tanzania wakati huo wa Ligi daraja la kwanza...
Kwa waliopata kumsikiliza akitangaza mpira bila shaka watakubaliana nami alikuwa anavutia kumsikiliza...
Na kwa wakati huo alikuwa akishirikiana vyema na watu kama Omary Jongo, Swedy Mwinyi na wengineo...
Tumeingia RTD Hegga ameishaondolewa kisa ni lile sakata la Bakwata na Balukta!.Suleiman Hega atakuwa anamkumbuka - kama una mawasiliano naye nina imani atakuwa anamkumbuka Khadija. hata kuna kipindi miaka 10 ya Uhuru watangazaji wastaafu walikaribishwa kutangaza nilimsikia huyu mama
Tumeingia RTD Hegga ameishaondolewa kisa ni lile sakata la Bakwata na Balukta!.
Sawa mkuu. Uko vizuri na nakukubali sana. Obviously una kipaji mahiri katika fani yako. Ila ningependa sana radio and tv personalities wa bongo muwe more creative.Mkuu Sherrif Arpaio, yes ndie mimi!, hapo uliponiona DTV ndio nilikuwa nimeishaachana na RTD!.
Pascal.
Sio ujasiri tu na bahati pia..c umeona kuna sehemu kasema kuna siku zingine walikua hawatumii k.i.nga wanaburura tu...nikumshukuru mungu tu.Umenikumbusha mbali sana mkuu mayalla!! Nimependa pia ulivyotoa ukweli wako wa moyoni juu ya utata wa vifo vilivyokuwa vikitawala Rtd .
Mungu akulinde na ujasiri wako!!!
Abisae Stephen! RIP
Kweli aise, mtangazaji alikuwa hawezi kuanza kipindi hadi amtambulishe fundi mitambo na anapomaliza kipindi lzm amshukuru.... wapi Lando Mabula
Ila kuna mtangazaji pia alikuwa akitangaza KBC pale Kenya akiitwa Leonard Mambombotela, nilimuhusudu sana huyo mzee. Hiyo nakumbuka ni miaka ya 1987.
mkuu umewasahau;
suleiman Hegga
John Makongoro
Salim Mbonde
na yule wa mazungumzo baada ya habari
bila ya kuwasahau ALLY SAID TUNKU NA NOEL MALOE
...Ni Noel Namaloe, Kama sikosei.
Huyu mzee alikuwa ni mnazi mkubwa wa soka la Tanzania wakati huo wa Ligi daraja la kwanza...
Kwa waliopata kumsikiliza akitangaza mpira bila shaka watakubaliana nami alikuwa anavutia kumsikiliza...
Na kwa wakati huo alikuwa akishirikiana vyema na watu kama Omary Jongo, Swedy Mwinyi na wengineo...
namkumbuka Ben Kiko (Benedict Kikoti) na kipindi chake cha mambo hayo kutoka kanda ya kati dodoma. bila kumsahau Abdallah Mlawa.
kwa ujumla RTD haikuwa na mchovu hata mmoja. Ndio maana watangazaji wengi wapo ktika radio za mashirika ya nje.
nikikumbuka watangazaji wa mpira akina:
1. Charles Hillary..... Namna gani pale
2. Dominic Chilambo
3. Omary Jongo
3. Ahmed Jongo .... Inakuwa Obstruction pale
4. Na wengineo
5. Wa sasa hovyoooooo...
Kweli aise, mtangazaji alikuwa hawezi kuanza kipindi hadi amtambulishe fundi mitambo na anapomaliza kipindi lzm amshukuru.... wapi Lando Mabula