Ama nifanye nini ili vitu nilivyonavyo visipotee nijekuisaidia jamii ya Tanzania?Habari,
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza.
Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa stashahda ya uhasibu,ila kazi bado sijabahatika kuipata.Swali language nifanye nini ili nitimize ndoto zangu kama nilivyoeleza hapo awali? Nimepambana kutafuta ajira sikufanikiwa. Naombeni mawazo yenu
Habari,

Waombe mapori ya wilaya wawekeze kwenye ufugaji wa nyukiKwanza nikupongeze kwa kuwa na maono ya mbali pia kwa nia yako ya kutaka kusaidia jamii iliyokuzunguka.
Mimi sidhani kama kupata ajira kutakufanya ufanikiwe kufikia lengo lako. Ila naomba nikushauri jambo hili rudi kijijini kama upo mjini.
ukiwa huko waweza organize vijana na kuanzisha kikundi nenda serikali ya kijiji omba aridhi ukipata nenda kwenye halmashauri oomba mkopo kuna mikopo kwa ajili ya vijana.
mkipata huo mkopo fanyeni kilimo kama mtaweza cha umwagiliaji hii ni njia moja wapo katika njia mia
Nawasilisha
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi mkuuKwanza nikupongeze kwa kuwa na maono ya mbali pia kwa nia yako ya kutaka kusaidia jamii iliyokuzunguka.
Mimi sidhani kama kupata ajira kutakufanya ufanikiwe kufikia lengo lako. Ila naomba nikushauri jambo hili rudi kijijini kama upo mjini.
ukiwa huko waweza organize vijana na kuanzisha kikundi nenda serikali ya kijiji omba aridhi ukipata nenda kwenye halmashauri oomba mkopo kuna mikopo kwa ajili ya vijana.
mkipata huo mkopo fanyeni kilimo kama mtaweza cha umwagiliaji hii ni njia moja wapo katika njia mia
Nawasilisha
Aiseeh., hizi biashara zenye swaga za namna hii ni za kuziangalia kwa jicho la tatu.Jiunge na QNET hakika hutajuta... ..Watu wameacha kazi za urubani, bank...Ualimu wako huko wametajirika! usikate tamaa
Acha uongo, to mfano tajir gani Tanzania anafanya hiyo biashara, hizi biashara za shortcut hizi sio kabisaJiunge na QNET hakika hutajuta... ..Watu wameacha kazi za urubani, bank...Ualimu wako huko wametajirika! usikate tamaa