Visionor
Member
- Nov 9, 2017
- 20
- 14
Habari,
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza.
Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa stashahda ya uhasibu,ila kazi bado sijabahatika kuipata.Swali language nifanye nini ili nitimize ndoto zangu kama nilivyoeleza hapo awali? Nimepambana kutafuta ajira sikufanikiwa. Naombeni mawazo yenu