Tujikwamue vijana na kuondokana na umaskini 2018-2025

Visionor

Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
20
Reaction score
14
Habari,
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza.
Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa stashahda ya uhasibu,ila kazi bado sijabahatika kuipata.Swali language nifanye nini ili nitimize ndoto zangu kama nilivyoeleza hapo awali? Nimepambana kutafuta ajira sikufanikiwa. Naombeni mawazo yenu
 
Ama nifanye nini ili vitu nilivyonavyo visipotee nijekuisaidia jamii ya Tanzania?
 
Ndoto zako za kuajiliwa ama ndoto gani? Kama sijaelewa hivi.
 
Habari,
Mimi ni kijana mwenzenu mwenye ndoto ya kufanikiwa nakufika mbali kimaisha na kusaidia watu wasiojiweza,watoto yatima,mama wajane,wazee wasiojiweza.
Nimemaliza Chuo kikuu mwaka 2015,kwa stashahda ya uhasibu,ila kazi bado sijabahatika kuipata.Swali language nifanye nini ili nitimize ndoto zangu kama nilivyoeleza hapo awali? Nimepambana kutafuta ajira sikufanikiwa. Naombeni mawazo yenu

Kwanza nikupongeze kwa kuwa na maono ya mbali pia kwa nia yako ya kutaka kusaidia jamii iliyokuzunguka.
Mimi sidhani kama kupata ajira kutakufanya ufanikiwe kufikia lengo lako. Ila naomba nikushauri jambo hili rudi kijijini kama upo mjini.
ukiwa huko waweza organize vijana na kuanzisha kikundi nenda serikali ya kijiji omba aridhi ukipata nenda kwenye halmashauri oomba mkopo kuna mikopo kwa ajili ya vijana.
mkipata huo mkopo fanyeni kilimo kama mtaweza cha umwagiliaji hii ni njia moja wapo katika njia mia
Nawasilisha
 
Mjini kuna kazi bila hata mtaji, mjini madukani kwa wahindi na hata waswahili wanakupa maji na juisi uuze kila ukiuza una kiasi unapata muhimu uwe na mdhamini tu. Pili,mtaani kwenu jifunze haya bodaboda ukiweza na kama unaaminika utapata ya kuendesha hata usiku. Unachopata ukawa unakihifadhi na kuwa na malengo yako you will be untouchable. Ila ukingoja kazi,muda haumsubiri mtu. Na jitihada siku zote haziendi bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa na maono ya mbali pia kwa nia yako ya kutaka kusaidia jamii iliyokuzunguka.
Mimi sidhani kama kupata ajira kutakufanya ufanikiwe kufikia lengo lako. Ila naomba nikushauri jambo hili rudi kijijini kama upo mjini.
ukiwa huko waweza organize vijana na kuanzisha kikundi nenda serikali ya kijiji omba aridhi ukipata nenda kwenye halmashauri oomba mkopo kuna mikopo kwa ajili ya vijana.
mkipata huo mkopo fanyeni kilimo kama mtaweza cha umwagiliaji hii ni njia moja wapo katika njia mia
Nawasilisha
Waombe mapori ya wilaya wawekeze kwenye ufugaji wa nyuki

[emoji252] [emoji479]
 
Kwanza nikupongeze kwa kuwa na maono ya mbali pia kwa nia yako ya kutaka kusaidia jamii iliyokuzunguka.
Mimi sidhani kama kupata ajira kutakufanya ufanikiwe kufikia lengo lako. Ila naomba nikushauri jambo hili rudi kijijini kama upo mjini.
ukiwa huko waweza organize vijana na kuanzisha kikundi nenda serikali ya kijiji omba aridhi ukipata nenda kwenye halmashauri oomba mkopo kuna mikopo kwa ajili ya vijana.
mkipata huo mkopo fanyeni kilimo kama mtaweza cha umwagiliaji hii ni njia moja wapo katika njia mia
Nawasilisha
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi mkuu
 
Mkuu siri ya kwanza kujitambua!! Simaaninishi kujitambua kama ambavyo tunajifunza shule namaanaisha individual highly self determination ikiambatana na self discipline ya hali ya juu!
Baada ya hapo, jihoji wewe mwenyewe mpaka sasa unaweza kufanya nn list knowledge na skills ambazo unajua kabisa unauwezo nazo siyo lazima uwe umesomea au hujasomea you just write kisha zitafutie fursa katika mazingira yanayokuzunguka, am sure kama una nia hutajuta maishani ila kama unataka short kati subiri wazee wengine waje!!

Hiyo ndo siri ya mafanikio kwangu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiunge na QNET hakika hutajuta... ..Watu wameacha kazi za urubani, bank...Ualimu wako huko wametajirika! usikate tamaa
 
Aiseeh., hizi biashara zenye swaga za namna hii ni za kuziangalia kwa jicho la tatu.
 
Back
Top Bottom