Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma


Akifa wategemez si wapo, watalipwa hiyo pension
 

Unawekezaa 46M at your 60s;

You don’t sound smart
 
Dah hizi akili za wapi. Hamjui hata kikotoo na ni kwa sababu sio watumishi wa uma. Kwa akili yako hapo unfkr zamani kabla ya kikotoo kipya walikua wakilipwa 100%[emoji16][emoji16]

Unajua zamani walikua wakilipwa % ngapi?
 

Decision haikuwa inclusive and participatory

Bad
 
Formula

[1/580]×N×APE×12.5×33%

Where:
1/580 = accrual factor
APE = The best three years avarage salary
12.5 =Avarage life expectancy after retirement
33% = pension lumpsum at retirement
N = Number of months contributed

Hii ni copy na paste . Chakata data ili lower level waweze kuelewa
 

Unampeleka babu tale bungeni akawe policy maker

Mtasubiri

Most of the policy makers ni Academic failures . Wakati wa kikokoto decision haikuwa inclusive kwa lower level . Hakuna feasibility study iliyofanyika kuonesha je ni kweli wastaafu wanataka iwe ivo

Kama kungekuwa na inclusivity. IBet kikokoto kingekataliwq

Ila
Yule JPM ipo shida alikuwa nayo kwa head
 
Au wangetoa option kwenye hicho kikokotoo. Yaani kama kuna wastaafu wanataka kupewa hela zao zote baada ya kustaafu, basi wangepewa. Na kama kuna wale wanaotaka kupewa kwa mfumo huu mfumo wao mpya, na wenyewe wangepewa.

Yawe makubaliano,sio kulazimishana.
 
May be these are some of the issues walizomuondolea JPM.There is a lot of money at stake here,na naamini JPM angekuwepo asingekubali upuuzi huu.R.I.P. JPM.
 
Akifa wategemez si wapo, watalipwa hiyo pension
Hakuna kitu kama hicho. Sheria inasema mstaafu akifa, na mafao yake yanakomea hapo.

Wategemezi wanatakiwa kumuombea mstaafu wao aishi kwa muda wa muaka 12 baada ya kustaafu. Na hiyo miaka 12 nayo ikipita, na mafao nayo yanakata.
 
Kikokotoo ni janga na kimepoteza morali ya kazi..!
 
chawa huna akili.acha wenye akili wajadili.kwa akili zako ndogo unaona milion 46 ni nyingi,aliyekwambia ela yakustafia niyakwenda kunzishia biashara ni nani.bure kabisa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
In the name of

Tunamtunzia pesa zake!!!!

Unafiki MKUBWA!!!!!!!!!!
 
Kuna yule mtumishi wa serikali kampiga ngumi ya shingo raia mwema, naye anakuja kukumbana na kikokotoo cha kihuni safi Sana.
Nyie walimu si tayar mmesha mchukulia form ya urasi, safi Sana
Mpaka mpate akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…