Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 3,380
- 5,906
Nimecheka sanaaa hhhhhhhhhhwakati huo mama anaupiga mwingi kwa safari zake zisizoisha
laiti hii kazi ninayoifanya sasa ingekuwaga kuna mtu alinishauri,
ningelimtafuta na kumpiga shaba.
ni kwamba tu ni kiherehere changu kusomea hii kazi kwa kuvutiwa na mavazi
Jipige shaba mwenyewe sasa