Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Serikali ya CCM imeshazoea kufanya dhuluma kwa wastaafu. Ilianza kwa watumishi wa iliyokuwa EAC ya awali, wakati wazee wa Kenya na Uganda wakilipwa stahiki zao, kwa upande wa Tanzania "blah blah" zikawa nyingi kisha Kambarage akawapiga na kitu kizito kichwani "story" ikaishia hapo.

Hivi sasa serikali ya CCM ina zigo kubwa la madeni kutoka katika mifuko ya hifadhi na kushindwa kuilipa. Kitu pekee ambacho wameona kinafaa kukifanya, ni kuweka kikokotoo kwa wastaafu, ili ipate unafuu katika kulipa kwa mkupuo mmoja.

Tuliwahi kumpata mtu mwenye uthubutu wa kukemea hadharani na kuchukua hatua, Marehemu Mtikila, pale alipoona haki za msingi za raia zikikandamizwa kwa makusudi na serikali. Tuna chama cha wanasheria, yaani TLS, na pia makundi ya wanaharakati, sijui hili la kikokotoo wanalionaje ama wamewahi kulitolea kauli yoyote ile iliyo rasmi!
 
Kila mtumishi anajiandaa kua mstaafu at ceteris paribus, na ndo hao watumishi wanatakiwa kuungana.
 
Hoja ni kinavyomuumiza mstaafu,swala la kinavyofanya kazi wala haina maana.Hizo kanuni zinawanufaisha wachache wenye mishahara mikubwa ila wengi wanaostaafu na mishahara midogo ni mateso tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio hapo..unakuta mbweha mmoja anatoa mfano kwa mshahara wa Profesa anayesitaafu bila ya kujua kuna watumishi wanaositaafu wakiwa na basic salary ya 800k mpaka 900k!
 
Wanarejesha wanatoa wapi? Pesa ilishapigwa kitambo sana. Watu wanaposema Chukua Chako Mapema huwa hamuelewi.??? Keki ya taifa ni ndogo sana, anayepata nafasi huwa anajisevia kuondoa msongamano
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kikotoo kimewekwa hapo ili kuficha madhambi ya watu. Ila nyie Mungu anawaona kwa dhuluma mnazowafanyia watz, mmeshaona ni wapole hawakawii kukubaliana na hali. Ipo siku Mungu ataamua kuwatetea yeye mwenyewe maana ni Mungu wa HAKI
 
Huu ndio upuuzi wa ngozi nyeusi.

Badala ya kuleta suluhusho la matatizo unaleta nadharia za shetani.
 
Halafu TUCTA wasivyo hata na chembe ya aibu wanasema Wafanyakazi eti mameridhia uwepo wa hicho kikokotoo! Na wakati wastaafu wengi wanalalamikia huo wizi na uonevu wa wazi kabisa.
Hao Tucta ni watu wa ovyo sana tangia uwepo wao wamewahi fanya nini kumsaidia mtumishi kwa kupitia vyama vinavyounda hilo shirikisho zaidi ya kula hela za watumishi?
 
Huu ndio upuuzi wa ngozi nyeusi.

Badala ya kuleta suluhusho la matatizo unaleta nadharia za shetani.
Kaa pembeni,you are so empty spiritually,kiasi kwamba umeshindwa kuelewa that everything you see and here is spiritual.Na ni ajabu kwamba unasema sijaleta suluhisho!!Suluhisho ni kwamba kikotoo cha zamani kirudi.Kikotoo cha sasa ni mpango mkakati wa kuwaibia watumishi na kuwaua,which comes from the pit of hell.
 
Mpaka akili zitukae sawa, tutakapo acha kufatilia Simba na yanga, na upuuzi mwingine wa, kajala,baba levo, harmonize nk, tukaingia balabalani kama kule Senegal! Hakuna kitakachobadirika
 
Chukua Chako Mapema ni laana
 
Halafu TUCTA wasivyo hata na chembe ya aibu wanasema Wafanyakazi eti mameridhia uwepo wa hicho kikokotoo! Na wakati wastaafu wengi wanalalamikia huo wizi na uonevu wa wazi kabisa.
Iliasisiwa na Jiwe kuwaibia
 
Hivi wewe ni nani unayeshabikia kikokotoo hiki? Ni mtumishi, mstaafu au shabiki tu? Usitukosee sisi wahanga wa hili janga. Nina wasiwasi wewe ni mmoja wa wale walotoa maamuzi ya kukianzisha ili muwaue haraka wastaafu, pesa zao zifie kwenu.
 
Hii ni laana wanaitafuta,siyo siri.
Haiwezekani mtu mmemalizana nae mkataba kisha uendelee kushikilia pesa zake kwa kigezo kumpangia matumizi.
Haikubaliki hata kidogo.
 
Ficha upumbavu wako, yaani badala upewe 100ml ama 150ml yako unasema upewe 46 halafu zingine ushikiwe?

Wewe ni mtoto mdogo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…