Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Ngoja mpigwe nyie CCM tena mwaka huu kuna uchaguzi kikokotoo kiwe 5%serikali inunue v8 za kutosha na misafara ya makonda iwe na magari 3,000.
Za ndani ndani pesa zimechotwa kwa ajili ya uchaguzi kuna watumishi wa afya huko Shinyanga wameambiwa kweupe.

Malipo yao ya extra duty hayapo kwa vile pesa zimechotwa kwa ajili ya uchaguzi, hapo mkurugenzi alikabwa sana mpaka kaona aseme ukweli ...Yeye hana kosa maana anapokea maelezo kutoka juu.

Ebu angalia siasa wanatumia pesa kibao ila wanajua wataiba tu kura ,kuna haja gani ya uchaguzi!?
 
Wewe hujui kitu. Subiri Wazazi wako Wastaafu ndiyo utajua Ubaya WA Kikokotoo 😭😭😭😭
 
Serikali walifanya hivyo kwa sababu wanajua maisha ya wafanyakazi wao , baada ya kustahafu ni wachache wanaotoboa miaka 12 baada ya hapo wanabaki na pesa

Eti "akipewa hela zote atatapeliwa au kuzitumbua hadi ziishe" kwani hao wabunge na wezi wengine wenyewe hawawezi kutapeliwa au kuzitumbua na warudi kua maskini 🤔🤔 yani mtu anajikaza miaka zaidi ya 20 kupambana kufanya kazi mnajidai kumtunzia pesa zake alafu anakuja kusalitiwa na kutapeliwa na serikali yake mwenyewe 🤔🤔 serikali inacho wafanyia hawa wazee ndio maana wanakufa mapema mpeni mtu pesa yake akimaliza na kua maskini ni yeye ametaka hana wakumlaumu
 
Makonda anasemaje?
 

ni ujinga uliyopitiliza kwamba umpe 33% ( sijui nikigezo gani kilitumika tunga ujinga huu) ,
akitokea mgombea wa upinzania akaondoa upuuzi huu nitahakikisha anapita kwa kishindo.
inabidi wafanyakazi nchi nzima tuandamane kupinga ujinga huu.

mtu una stafu at 60 years .tiari utakuwa na magonjwa ya hapa na pale kama kisukari ,presha nk.Hela umejiwekea mwenyewe then mtu from no where anakupangia matumizi yake.waafrica tumelaniwa kwa kweli.

japo mimi ni mwana ccm ,kwa ujinga huu inabidi CCM itoke madarakani.

la pili ni hili la kuwalazimisha wastafu at 60 years ,wakati wastani wa maisha ya mtanzania hapa duniani ni miaka 66.kwa maana hiyo mtu anastafu na huku amechoka ile mbaya.

The current life expectancy for Tanzania in 2024 is 66.67 years, a 0.42% increase from 2023. The life expectancy for Tanzania in 2023 was 66.39 years, a 0.47% increase from 2022. The life expectancy for Tanzania in 2022 was 66.08 years, a 0.47% increase from 2021.
 
Naomba kujua, hii wanayopewa kila mwisho wa mwezi kama sehemu ya 67% yao iliyobaki,
Inahusiana na ile 50%( Nusu ya mshahara aliokua anapata kipindi yupo kazini) anayoipata kila mwezi?
 
Halafu TUCTA wasivyo hata na chembe ya aibu wanasema Wafanyakazi eti mameridhia uwepo wa hicho kikokotoo! Na wakati wastaafu wengi wanalalamikia huo wizi na uonevu wa wazi kabisa.
Pamoja na dhulma zote hizi dhidi ya wastaafu ambao walikuwa wafanyakazi wa umma, TUCTA siku zote wako mstari wa mbele kwenye maandamano ya sherehe za Mei mosi. Only in Tanzania! Shame on you tucta and other trade unions in Tanzania.
 
Huna akili wewe.....Kichwa kimejaa uharo
 
Hebu tupe mfano wa mwalimu tuone majibu yako, ili tuone vizuri mjinga nani.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Je mstaafu wa ngazi ya chini asipofariki baada ya miaka 12 anapata nini? Kitu kikubwa waastafu wangedai kuwekewa kikokotoo kinachotizama mfumoko wa bei za vitu (" inflation"). Kama hujawahi kufanya biashara au kukamata pesa mingi, ni vizuri uichukue kidogo kidogo huku siku zinaenda. Watu siku hizi wanaishi maisha marefu miaka 75 au 80 ni kitu cha kawaida sana.
 
ni kweli kwamba wastafu wengi wakipewa hela wanazitumia vibaya aidha kwa sababu hawakupewa elimu tosha ya matumizi ya fedha ya kustafu.sasa kwa mfano ikatungwa sheria kUwa ,hela za kustafu ziwekwe directly kwenye bank za kibiasha ambazo zinatoa gawio kila mwezi ,si itakuwa nafuu kuliko hiyo pesheni ya kila mwezi anayopewa mstafu ?
 

hivi ukifa kabla ya hiyo miaka 12 baada ya kustafu ,hela zilizobaki inakuwaje?

na kama wanasema wanataka kumsaidi mtu wa umma asitumie hela zake vibaya, na mfanyabiasha ,mkulima,mfugaji naye huwa wanamsaidiaje asitumie hela zake vibaya?
 
Mpumbavu mkubwa wewe mwenye elimu mbona umejiharishia hapa! Hiyo 500K ndiyo badala ya 54M waliyopunjwa?

Kauze nyuma yako huko upate kuishi achana na mambo usiyoyajua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…