Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Kama ni matumizi mabaya wabunge kwani hawana matumixi hayo mabaya?
Mbunge ana miaka 47 au 50 anapewa Pesa zake zote..
Ila Mwalimu ana miaka 60.anaambiwa atunziwe kwa sababu anamatumizi mabaya?

Hii haiingii akilini
 
UNASHANGAA LEO MAGUFULI ALITAKA IWE 27% watumishi Wamshukuru RAIS SAMIA KUONGEZA KIWANGO vipi WABUNGE wenu wanaowatetea Wao kwa MIAKA 5 unajua wanapata nini? Vipi mshahara wa huyo Mtumishi kwa mwezi kwa Mbunge mshahara ni Mil.16 kwa Mwezi mbona HULALAMIKI? ANZA na WABUNGE KWANZA
 
Wana laana kubwa hao, wapuuzi kabisa.
 
Umeandika uongo na kwakuwa baadhi ya Watanzania wanapenda uongo wamekuunga mkono na uongo wako, halafu wewe unajisikia vizuuuuuri!
 
Niseme tu WEWE NI PAMBAFU SANAAAA !
 
Chawa mwenye elimu ya kikokotoo, mtumishi anayelipwa 1.3M anapata mil 46 akiwa amechangia kiasi gani kwa takribani miaka 30?

Chawa mwenye elimu ya Kikokotoo, kwanini kama kikokotoo ni kizuri kiasi cha sifa utoazo, kwa nini hakiwagusi baadhi ya watumishi wakiwemo Mawaziri, wabunge etc?

Chawa mwenye elimu ya kikotoo kwa nini mara baada ya mtumishi kufariki kbl hata ya ile miaka 12 ambayo angekuwa analipwa pension yake, pension husimamishwa? Kwa nini kiasi salia kisilipwe kwa familia ya mnufaika? Why inakuwa treated kama Bima?

Kwa nini hata hivyo kumekuwa na ucheleweshaji wa malipo ya pension ya kila mwezi ya wanufaika wa pension, huoni kama inatakiwa kuwe na mipango madhubuti ya kuwalipa kwa wakati hao wazee waliojitoa kujenga taifa hili? Uzuri unaozungumzia ni upi pasipo kuwajali wazee hawa kwa kuwalipa kwa muda?
 
Umeandika uongo na kwakuwa baadhi ya Watanzania wanapenda uongo wamekuunga mkono na uongo wako, halafu wewe unajisikia vizuuuuuri!
Uandike huo ukweli basi ili uongo wangu uonekane hadharani. Kinyume na hapo, basi nitaamini na wewe ni wale wale tu mnaowasababishia wastaafu maumivu, kwa sababu tu ya ubinafsi wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…