Tujionee kwanza haya maajabu ya Kikokotoo kwa Watumishi wa Umma

Asante sana Tate Mkuu, ni Heshima kwako kwa kuileta hii Mada jukwaani.

Napendekeza iwe hiari ya mfanyakazi mstaafu.
Atakaye penda kulipwa 33% ya mafao yake apewe.

Atakaye penda kuchukua chake chote apewe.
Mtu kawekeza pesa yake inakujaje apangiwe namna ya kuichukua?

Huu ni unyang'anyi wa kutisha sana.
 
Usimchukulie kila mtu mjinga!! Ni afadhali mtu apewe pesa zake zoteee, ajijengee jumba aanze kula kodi. At least akifariki, ataacha legacy ya urithi kwa wanae. Sote unajua %almost 90 ya 90 ya watumishi wa uma, wanaishi kwenye nyumba za kupanga. Kwanini wasilipwe jasho Lao??? Hao sio watoto mjue. Mtu akiamua kuzipuyanga ni haki yake. Tukirudi kwenye uhalisia, hamna ujenzi mzuri kwa mil70, unless banda tu la kujistiri bila ya uzio. Kwanini wasipewe stahiki zao, kama mil 250 ni sawa tu, mtu ajiamulie kujenga jumba la kupangisha au apige starehe kwa utuo?? Wabunge n nk wanapiga mshahara mrefu kweli ila wapoexcempted kwenye hili, ila mwalimu amefumdisha miaka 40 kwa salary chini ya laki8 na bado anaekewa limitations?? Na akifariki??? This is not fair kabisa. Huu ni wizi tena in bold, 4D kabisaaa. Kiongozi na jopo lake lililopitisha hii sheria wote wanastahili kunyongwa hadi kufa au kupigwa risasi headshot.
 
Mimi nataka pesa yangu yote.
Kiwanja ninacho cha Biashara.

Nataka nijenge Guest House yangu ya vyumba ishirini tu.
Hiyo itanilipa pesa zaidi ya hiyo Pensheni kwa maisha yangu yote,
Na pia hata nikifariki warithi wangu wataendelea kunufaika.

Pesa yangu nimeizalishwa kwa miaka 20.
Unanipangiaje matumizi yake.

Kama kuishi maisha ya mafanikio, ni Mpango wa Mungu tu, na sio kuishiwa pesa.

Mbona hao Mabilionea akina Steve Jobs wamefariki wakiwa vijana kabisa huku wana utajiri wa kutisha?

Sisi tunataka hivyo.
 
Rubbish.
 
CCM ni janga la taifa namba moja.
 
Acha watukomeshe si mkiambiwa kuandamana mnasema nyinyi ni wafanyakazi wa serikali siasa hazi wahusu. Na uchaguzi ukifika mnapewa posha mnawasaidia kuiba kura. Na wengine mnakuwa kama mzombi eti mnachagia wanao waibia hela za kuchukulia form ya kuombea. Nyerere alisema mtu akikwambia ujinga ukaukubali huyo mtu lazima akuzarau.
 
Sio tuu kikokotoo ni pamoja na FAO la Kujitoa au kuachishwa kazi
 
Waalimu wamechanga ela za kumchukulia fomu mgombea urais kwa tiketi ya CCM mama Samia,
Kama waalimu Wana akili izi tutegemee vijana wanao zalishwa huko watakuwa na akili kweli
 
We ndo popoma kabisa!

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Tulifikaje hapa?
 
Unreasonable kabisa aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…