stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Sijawahi kumjibu mtu kwa jazba, ila nawaza tu hapa? maana at the age of 60 ukafanye biashara itakayokuingizia 500,000 Tshs kwa mwezi, sidhani kama uko serious, hiyo ni biashara inayotakiwa uwe na nguvu nyingi sana, unless kama ulianza biashara ukiwa kijana.Wewe huna elimu ya kikokotoo. Kikokotoo ni kizuri sana. Imagine anayelipwa mil 1,300,000 kwa mwezi anakuja kupokea 46 mil kama lumpsum, na bado kila mwezi atapata kama 500k, hivi huyu mtu akiamua kuiwekeza hiyo 46m kwenye duka au mifugo si atatengeneza kama laki tano zingine ukijumlisha anapata kama mil moja, compare na wakati wa ajira ana pungukiwa hela kidogo tu. Na hapo anakuwa na uhakika na cashflow yake.