Sasa viongozi tunawatafutia shibe ya matumbo yao,Hivi wewe unaenda kupiga kura au kuidhinisha shibe ya mtu yaani kulaWatanzania walio wengi bado imekuwa vigumu kwao ktamka neno "kura" badala yake wanatamka "kula" na hivyo kupelekea kupoteza maana nzima iliyokusudiwa.
Tafadhali tusiharibu maana ya KURA. Ni KURA sio KULA.
October 28 tukapige KURA sio tukapige KULA.
Ahsanteni, tuendelee kufanya mazoezi ya ulimi.
JPM mwenyewe hajui kutofautisha r na lTarehe 28 October wananchi tunaenda kupiga"kura"kumchagua JPM.