Tujitahidi kutofautisha kati ya "kura" na "kula"

Tujitahidi kutofautisha kati ya "kura" na "kula"

zandrano

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Posts
7,893
Reaction score
8,816
Watanzania walio wengi bado imekuwa vigumu kwao ktamka neno "kura" badala yake wanatamka "kula" na hivyo kupelekea kupoteza maana nzima iliyokusudiwa.

Tafadhali tusiharibu maana ya KURA. Ni KURA sio KULA.

October 28 tukapige KURA sio tukapige KULA.

Ahsanteni, tuendelee kufanya mazoezi ya ulimi.
 
Tarehe 28 October wananchi tunaenda kupiga"kura"kumchagua JPM.
 
Watanzania walio wengi bado imekuwa vigumu kwao ktamka neno "kura" badala yake wanatamka "kula" na hivyo kupelekea kupoteza maana nzima iliyokusudiwa.

Tafadhali tusiharibu maana ya KURA. Ni KURA sio KULA.

October 28 tukapige KURA sio tukapige KULA.

Ahsanteni, tuendelee kufanya mazoezi ya ulimi.
Sasa viongozi tunawatafutia shibe ya matumbo yao,Hivi wewe unaenda kupiga kura au kuidhinisha shibe ya mtu yaani kula

Marekani na ulaya wanapiga kura,Tanzania mnapiga kula

Huko ulaya watu wanagombea kujenga heshima tu ,lakini Tanzania watu wanagombea kutafuta shibe na kupunguza matatizo ya familia hivyo tunawatafutia au kuwapigia shibe yaani Kula
 
Kura au kula?
EjGE4u7X0AM1Ez7.jpg
JamiiForums472601843.jpg
 
Labda ambae hajaenda shule anatafuta "kula " aliyeenda shule anatafuta "kura "
 
asiye weza kutofautisha au kutamka neno "KURA"na "KULA" asipigiwe "KURA"
maaana anatafuta "KULA"
 
Watanzania wenzangu tujitokeze kwa wingi October 28 tukawapigie "KURA" Rais, Wabunge na Mwadiwani.
tuwachague viongozi ambao watatuletea maendeleo, viongozi ambao wanayafahamu matatizo yetu, viongozi ambao wapo karibu na wananchi, viongozi ambao tutawatuma na watatutumikia.
tusifanye makosa.tuwe makini tusikosee
 
Back
Top Bottom