Ndugu zangu, wanajamii Forum TUJITOKEZE kwenye kujiandikisha daftari la wapiga kura serikali za mitaa na vijiji. Kwani Halichukui muda mwingi
..
Majina yako matatu, miaka yako... Sahihi yako tu.
Dakika moja tu unakuwa umeondoka.
Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni muhimu, Jiandikishe kwenye Orodha ya Mpiga kura wa Serikali za Mitaa Tarehe 11 - 20/10/2024 ili uweze kushiriki Uchaguzi.