mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Nimekuwa nikijiuliza hali ingekuwaje kama mpambano kati ya Urusi na Ukraine ungekuwa MMOJA DHIDI YA MMOJA na wengine wakawa watazamaji tu.
Ukraine wameshakiri kuwa sehemu kubwa ya silaha zake ziliharibiwa siku ya kwanza ya vita. Bila nchi za magharibi kumpatia ukraine silaha muda wote saa hii huyu rais mchekeshaji angeshakuwa historia!
Urusi imeshangaza!! Imewekewa vikwazo vya kiuchumi zaidi ya 6,000!! Inapambana na mataifa zaidi ya 30 yanayoisaidia Ukraine kwa hali na mali!
Lakini bado haijateteleka na pesa yake ruble imesharudisha nguvu yake iliyokuwa nayo kabla ya kuanza vita! Mabeberu wanashangaa kuwa inakuwaje hatujafanikiwa kuidhoofisha Urusi pamoja na vikwazo vyote hivyo?
Ngoja tuone mambo yatakavyokuwa!