Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hii wanaaminishwa hata na kitengo! Huwa nawaona wote wehuTatizo magamba wanajiona kuwa wao ndiyo wenye leseni ya kuitawala Tanzania
Wewe mwenyewe umeacha lini hiyo kazi? Twambie mombasa ulifukuzwa kwa tatizo gani?
Ujumbe wako ulikuwa mzuri pengine km hiyo lugha ya matusi usingeijumuisha humodigba sowey,
Kwahiyo wewe akili zako unazifikiria makaliona?
Kura atapigiwa na kushinda atashinda.
Kinachokuuma nini hasa?
Wewe umelifanyia nini taifa lako kwenye umri wako ulionao?
Mods futeni huu uharo.Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.
Naomba niende kwenye hoja yangu. Wahenga walisema Muda ni mwalimu mzuri, Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya kujeruhiwa na kunusurika kifo alikimbilia ughaibuni akidai kuwa anaenda pata matibabu, akiwa huko ughaibuni alitumia njia za kila aina kuichafua nchi yetu na kumchafua rais wetu, na alijiapiza kuwa lazima nchi wahisani zikome kutoa misaada kwa Tanzania na Watanzania.
Baada ya kuona hoja na chuki zake hazijazaa matunda amebadili uelekeo na kuutaka urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania akijidai eti ni mtetezi wa wanyonge, wanyonge wepi hao anaowatetea wakati akiwa ng'ambo aliwatakia maisha mabaya?
Huyu Lissu kwa kauli zake ambazo amekuwa akizitoa zinathibitisha kuwa ana nia ovu imefichika juu ya kuutaka urais, na kwa akili zake anaamini kabisa Watanzania watampa kura. Chonde chonde Watanzania tumuepuke huyu mtu, nikimwangalia naona kama kuna nguvu nyuma yake, nguvu hiyo siyo zuri maana imelenga kuharibu mstakabari na umoja wa taifa letu.
Shime Watanzania, Lissu ni garasa tusijaribu kuharibu umoja na mshikamano wetu uliodumu kwa miaka zaidi ya 50 kumpa kura eti awe Rais maana huyu mtu ni mbinafsi, ni mwenye chuki na hana staha mdomoni kwake, lakini pia anatumika kuharibu amani ya taifa letu.
Acheni woga ccm tulieni mfunzwe siasa.Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.

Muulize Lisu
Na hii wanaaminishwa hata na kitengo! Huwa nawaona wote wehu
Kuna mpayukaji nchi hii kama Mungufool (Mungu mjinga) kweli?Sema kwa maslahi yenu ninyi na si watanzania wote, hakuna mtu mpayukaji kila siku awe na maslahi kwa nchi.
UtopoloHana jipya huyo, ana miluzi mingi ya kumpoteza mbwa.
WaTZ wa Sasa si wa 2015 wa gia za angani na zungusha!zungusha!
Tena mfitini Sana huyo,Naona suala la Bomberdia na beberu wake wa south, Machenikia, na dictator uchwara zimeputa Kama upepo.
Sa hivi anakwambia anaskia Kuna watu wanakufa na Corona huku yeye na genge lake la kula rudhuku walijazana Airport na wanaendelea kujazana.
Hana jipya huyo, ana miluzi mingi ya kumpoteza mbwa.
WaTZ wa Sasa si wa 2015 wa gia za angani na zungusha!zungusha!
Tena mfitini Sana huyo,Naona suala la Bomberdia na beberu wake wa south, Machenikia, na dictator uchwara zimeputa Kama upepo.
Sa hivi anakwambia anaskia Kuna watu wanakufa na Corona huku yeye na genge lake la kula rudhuku walijazana Airport na wanaendelea kujazana.
Kwani unateseka?
Hiyo kauli inapingana yenyewe kwa yenyewe. Unakubali kuwa alijeruhiwa na kunusurika kifo halafu unasema...... akidai anaenda kupata matibabu!Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.
Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya kujeruhiwa na kunusurika kifo alikimbilia ughaibuni akidai kuwa anaenda pata matibabu,
We ni mpumbavu sana kwani Magu anautaka urais kwa maslahi ya nani. Kwani Lissu si ni mtanzania kama Magufuli sasa unachotaka asigombee au vp. wewe shughulika na Magu Lissu umwache atimize haki ya kikatibaWakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.