Uchaguzi 2020 Tujiulize, tumuulize anautaka Urais kwa maslahi ya nani?

Mgombea asiyekuwa tayari kutokea kwenye mdahalo kutuhabarisha anasimamia nini na akahojiwa, huyo hatufai.

Hasa hasa kama yeye si:



Akajikite kwenye mashamba na mifugo yake tu.
 
"Tundu Lissu baada ya kujeruhiwa na kunusurika kifo alikimbilia ughaibuni akidai kuwa anaenda pata matibabu"...

Alikimbilia ughaibuni!!
Akidai anaenda kupata matibabu!

Jamani mjue hata shetani atakuwa anawashangaa kwa mlivyomzidi roho mbaya?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Swali la kijinga hilo
 
Wewe mtoa mada ungekuwa mtoto wangu walahi leo ningekutia kikaangoni nyambafu kabisa.
 
Yule aliyetoa RUSHWA YA SHILINGI MILIONI MIA MOJA (100,000,000/=) PALE DUMILA NI KWA FAIDA YA NANI?
 
digba sowey,

Kwahiyo wewe akili zako unazifikiria makaliona?

Kura atapigiwa na kushinda atashinda.

Kinachokuuma nini hasa?

Wewe umelifanyia nini taifa lako kwenye umri wako ulionao?
Ujumbe wako ulikuwa mzuri pengine km hiyo lugha ya matusi usingeijumuisha humo
 
Umeandika TAKATAKA.
LISSU HAKWENDA HUKO UGHAIBUNI ALIPELEKWA.
MBILI ALIYESEMA NA ANAYESEMA HATAKI FEDHA ZA MABEBARU N MAGUFULI NA WAPAMBE WAKE.
TATU KUGOMBEA NI HAKI YA MTU
 
Mods futeni huu uharo.
 
Acheni woga ccm tulieni mfunzwe siasa.
 
Sema kwa maslahi yenu ninyi na si watanzania wote, hakuna mtu mpayukaji kila siku awe na maslahi kwa nchi.
Kuna mpayukaji nchi hii kama Mungufool (Mungu mjinga) kweli?
 
Utopolo
 
Akili za kisoda
 
Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida.

Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya kujeruhiwa na kunusurika kifo alikimbilia ughaibuni akidai kuwa anaenda pata matibabu,
Hiyo kauli inapingana yenyewe kwa yenyewe. Unakubali kuwa alijeruhiwa na kunusurika kifo halafu unasema...... akidai anaenda kupata matibabu!
 
We ni mpumbavu sana kwani Magu anautaka urais kwa maslahi ya nani. Kwani Lissu si ni mtanzania kama Magufuli sasa unachotaka asigombee au vp. wewe shughulika na Magu Lissu umwache atimize haki ya kikatiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…