Uchaguzi 2020 Tujiulize, tumuulize anautaka Urais kwa maslahi ya nani?

Mkuu, unawasiwasi atavunja madaraja na mabarabara turiyoyajenga iri atoe vyuma akauze kwenye skerepa?[emoji1787]

Anyways, ni haki ya kila mtu kugombea na Lisu hajavunja sheria yoyote ya nchi
Chadema ni viwavi
 
Kama mlimdanganya mgombea wenu kua yeye ni alfa na omega na atashinda kwa asilimia 100 mlijidanganya.Kaa kwakutulia dawa isambae.
 
Kama mlimdanganya mgombea wenu kua yeye ni alfa na omega na atashinda kwa asilimia 100 mlijidanganya.Kaa kwakutulia dawa isambae.
Huyu hawezi kuwa rais wa nchi hii hadi kiama,
 
Huyu hawezi kuwa rais wa nchi hii hadi kiama,

Asiyekubali kushindwa si mshindani. Kama katika kumzuia kuwa rais wa nchi hii kukwiba uchaguzi ni sehemu za agenda yenu - tuendelee kukumbushana wakuu. ICC safari hii kuna mtu itamhusu.
 
Watanzania na maliasili zao
 
Asiyekubali kushindwa si mshindani. Kama katika kumzuia kuwa rais wa nchi hii kukwiba uchaguzi ni sehemu za agenda yenu - tuendelee kukumbushana wakuu. ICC safari hii kuna mtu itamhusu.
Wa kwanza kwenda ICC atakuwa Lissu na genge lake,believe me.
 
Kama Tanzania tunawapumbavu kama nyinyi haina haja kwenda shule...ulimbukeni wa hali ya huyu...uozo wa akili kabisa..kila mwananchi na haki ya kugombea nafasi yoyote as long as chama champion chaka kimempitisha pamoja na tume...akili ambazo zimeoza kama zako ni shida sana kwa maendeleo ya nacho hiii...
 
Soma tena ulichokiandika ili ukilekebishe ili kunioa nafasi ya kukujibu kwa ufasaha,naona unepaniki sana
 
NAWAKUMBUSHA TU WAKUU.

Tanzania ni moja kati ya The Poorest Countries in the World (NCHI MASIKINI ZAIDI DUNIANI) inashika nafasi ya 8 kutoka chini. ( Focus economy 2019- 23)
MIAKA 60 YA UHURU.

CCM imetufikisha hapa
 
Focus economy na world bank nano mwenye takwimu sahihi?
 
Wa kwanza kwenda ICC atakuwa Lissu na genge lake,believe me.

Kuna jibu moja zuri sana nimeliona likielekezwa kwako:

"Wanasema subiri dak 90." Ya nini kuandikia mate?

Kukwiba mkwibe nyie, waripua risasi 38 kwa mtu mmoja nyie, yote nyie halafu muachwe nyie?

Mamboleo apenye hivi hivi? Labda kama atakuwa aliasha staafu na kama jina jingine la Feleshi ni Fatouh Bensouda!
 
Jamaa anataka kuvuka mto kabla hajaufikia.
 
Jamaa anataka kuvuka mto kabla hajaufikia.
 
Soma tena ulichokiandika ili ukilekebishe ili kunioa nafasi ya kukujibu kwa ufasaha,naona unepaniki sana

Kwani wewe umeandika je hapo? Au tuseme ni kweli kabisa kuwa na wewe wataka kuolewa?

Mmetumwa kujibu hoja si kuleta viroja jombi.

Tunakoelekea kwa mwendo huu, hata hii buku 7 mtanyimwa si muda mrefu. Ama kwa hakika mmeshindwa kuitendea haki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…