Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Ikumbukwe sisi watanzania,kabla ya mfumo wa upinzania kuanza sisi sote CHAMA chetu kilikuwa ni chama cha mapinduzi yaani ccm, baada ya vyama kufunguliwa ndipo kila mmoja wetu kwa akili zake akakimbilia pale anapoona panamstahili na panapoweza kumtimizia mawazo yake na malengo yake ya kisiasa kwa mujibu wa uoni wake,
Basi katika kuchagua vyama ambavyo tunadhani vina malengo ya kweli katika kumkomboa mtanzania huyu pasipo kumgawa kwa udini wake,ukabila wake,rangi zake utanganyika wake aidha uzanzibar wake,ni hekima tukachekecha kwa kina kuhusu ni wapi panapotufaa,ambapo panadhamira ya kweli ikiwamo kuulinda umoja wetu wa kitaifa bila kumungunya.
N.B-UNAWEZA KUIPIMA HEKIMA YA CHAMA HIKI KIRAHISI KABISA,KINAKWENDA MOJA KWA MOJA KUGUSA PALE PANAPOSTAHILI NA SIO ROPOROPO KILA KONA,AMBAZO ZINAWEZA ZISIZAE MATUNDA YOYOTE ZAIDI YA KELELE TU.
-Ndani ya Act pana hekima,
-Ndani ya Act tafakuri ya kina,
-Ndani ya Act Busara,hakuna kukurupuka,
-Chama kina umri mdogo lakini kiko well matured, kwa hali ya juu kabisa,ki discipline,principles and integrity!