Wana JF!
Katika kuonyesha KILIMO KWANZA kwa vitendo, nimekuwa na wazo kwamba wana JF tunaweza kuunganisha nguvu zetu na kuwa na shamba la kisasa litakaloitwa JAMII FARM. Shamba hili liwe kumbwa sana na linapaswa kuwa la mfano. Shamba hili liwe na mifugo mbalimbali (kuku wa aina zote, ng'ombe (maziwa na nyama), mbuzi, bata mzinga na wengineo; pamoja na bustani za mboga mbalimbali. Hili ni wazo, nakaribisha mawazo ya wengine. Tuwaweza kutumia mfumo wa kuwa na hisa na watu kununua hisa.
Inawezekana nisieleweke sana kwa kutumia kauli mbiu ya Kilimo Kwanza; lakini wazo langu linatokana na jinsi ninavyoona wana JF wengi wakitaka msaada wa kuanza kilimo na ufugaji. Hivyo badala ya kila mmoja kutafuta uwekezaji wa peke yake, nafikiri inaweza kuwa nafuu zaidi kwa kuunganisha nguvu. Haswa unapoangalia suala la kuajiri waatala, pembejeo za kilimo (kama tractors) n.kKilimo Kwanza ni nini? Nini misingi na malengo yake? Wakulima wadogo na wa kati wamefikiriwaje? Ukijibu maswali haya,ndio uje tupange huo mpango wako.
QUOTE=Mgombezi:Inawezekana nisieleweke sana kwa kutumia kauli mbiu ya Kilimo Kwanza; lakini wazo langu linatokana na jinsi ninavyoona wana JF wengi wakitaka msaada wa kuanza kilimo na ufugaji. Hivyo badala ya kila mmoja kutafuta uwekezaji wa peke yake, nafikiri inaweza kuwa nafuu zaidi kwa kuunganisha nguvu. Haswa unapoangalia suala la kuajiri waatalam, pembejeo za kilimo (kama tractors) n.k
Kama ni ivyo,umeeleweka. Nadhani wadau watakupa mawazo mazuri zaidi ya namna gani ya kuimplement mpango huo. Ingawa kama mtoa wazo,ungekuja na mpango mkakati ulio kamili,then sisi wadau wengine tuujadili kwa kina.
Tukimwingiza hapa tunaweza tukaleta mtafaruku wa kidini; wantasema JF ni wakristu. Tusielekee huko!
Wana JF!
Katika kuonyesha KILIMO KWANZA kwa vitendo, nimekuwa na wazo kwamba wana JF tunaweza kuunganisha nguvu zetu na kuwa na shamba la kisasa litakaloitwa JAMII FARM. Shamba hili liwe kumbwa sana na linapaswa kuwa la mfano. Shamba hili liwe na mifugo mbalimbali (kuku wa aina zote, ng'ombe (maziwa na nyama), mbuzi, bata mzinga na wengineo; pamoja na bustani za mboga mbalimbali. Hili ni wazo, nakaribisha mawazo ya wengine. Tuwaweza kutumia mfumo wa kuwa na hisa na watu kununua hisa.
Huko nyuma kuna mtu alitoa wazo hilo na tukaunga mkono sana, na baadhi tumeanza tayari kkwa vitendo wazo hili,kwa hiyo mzee inawezekana kwa gharama kidogo zaidi. Sisi tunakwenda kwa mfumo wa estate kubwa.
Eka 1000 ni ndogo mno na hata saa hizi naweza kukwambia ziko wapi kanunue/tukanunue.
Wazo zuri ,utekelezaji huwa mgumu.sisi waswahili huwa tunaunga mkono wa maneno matamu tu,then vitendo hatutekelezi hata chembe.mtafute malila and Co,watashauri ardhi kubwa ipo wapi Tz.
all the best,kwa sasa nimeamua kuanza na subsistence farming (eka 30tu) kilimo cha heka 1000Plus kitahitaji pesa nyingi,Tractors,Excavators na Combine Harvesters.
hapo ubia ndo utatakiwa
Ujamaa uliwashinda Warusi, je sisi tutauweza?