Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
anzisha shamba lako sisi utakuwa mfano mzuri ... au unataka kuingiza watu chaka hapa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i think you are right on this,ID zetu za kijamii forums itabidi tuanze upya au ??🙂Halafu iwe kama ile hadithi ya Animal Farm; ubabe wa moderators uendelee, ushabiki wa members pale pale, halafu na hizi ID za a.k.a. zibakie lakini members waruhusiwe kuvaa kininja ili wasijulikane.
View attachment 18388![]()
Tukimwingiza hapa tunaweza tukaleta mtafaruku wa kidini; wantasema JF ni wakristu. Tusielekee huko!
Malila nakushukuru kwa mchango wako; inaonekana tayari nyinyi mmeshajiunga na kuanzisha hiyo estate. Naweza kupata details za hicho kikundi ili nami niweze kujiunga.
wanaotaka umoja wajiunge! Jamani tuseme sasa kuonana ni rahisi sana!kazi ya jf kuanzisha mijadala yenye lengo la kukuza na kuelimisha uelewa wa wana jf. Ukipata elimu hapa jf unaweza kwenda kulima wewe mwenyewe
i think you are right on this,ID zetu za kijamii forums itabidi tuanze upya au ??🙂
wanaotaka umoja wajiunge! Jamani tuseme sasa kuonana ni rahisi sana!
mkuu huo ni woga tuu! kunawatu tunajua mpaka sasa kuwa ujamaa ndiyo ukombozi wetu!Raha ya JF ni hizi a.k.a.
Ya Jamii Farm yatafanya tuwajue wanaomwaga sera za 'UJAMAA' hapa kisha kumbe huko mtaani wanashindana kujilimbikizia mali.
mkuu huo ni woga tuu! kunawatu tunajua mpaka sasa kuwa ujamaa ndiyo ukombozi wetu!