Tujivue gamba ni wakati sahihi

Atakubali sasa..?
 
Tuwe makini na Lissu ni very divisive na CHADEMA itageuka kuwa chama cha wanaharakati zaidi kuliko chama cha siasa.
Jiulize tangu cdm imekuwa chama cha siasa sio wanaharakati, leo hii kuna mafanikio yapi?
 
Jiulize tangu cdm imekuwa chama cha siasa sio wanaharakati, leo hii kuna mafanikio yapi?
Huoni mafanikio yoyote ya CDM kuwepo katika siasa za Tanzania?!
 
Haondoki mtu, wacha kife kuliko kumkabidhi mropokaji chiba
Nawe ni chiba ujaye.
Pia kupigania chadema ndio maana ameumizwa lkn leo Mbowe wenu anajinufaisha peke yake wakdati. wengine wametiwa vilema
 
Kuna pesa wanapokeaga toka kwa wahisani nje ya nchi.so mwenye haki ana maamuzi wa hizo pesa anakuaga chairman.so wengine huzitazama tu...hiii vita nikubwa,ukitaka ubaya gusa satanic ya boss wako.

Democracy inapigiwa debe na wazungu kwani nimpango mahususi wa kuziendeleza nchi zao.(kwani husababisha vurugu,huuwa utamaduni wenu)
Vyama vya siasa ni mahususi kwa kuleta mtikisiko na utofauti wenyewe kwa wenyewe iliwapate kuchuma mali zenu hao wahisani.
 
Juzi kwenye uchaguzi, Lisu na Wenje wamefanya nini kwenye maeneo yao kuonesha nguvu ya upinzania kuwa ni bora kuliko maridhiano? Unadhani 2025 watafanya nini? sana sana akiwakera kupitiliz watamtafutia visa na "kummaliza"





 
Your browser is not able to display this video.
 
Your browser is not able to display this video.
 
MBOWE hayuko tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…