sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo.
Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana kwenye hii sekta na wanaweza kuwa inspiration.
Uzi huu weka mtanzania yeyote unaemjua ambae alifanya chochote kwenye tasnia ya teknolojia
iwe katoboa au lah it doesnt matter,
awe tu kafanya chochote katika medani za kiteknolojia... hata yule jamaa alietengeneza mashine ya kuingiza sarafu ili bomba litoe maji anahusika hapa.
Muwe mnaongezea na nyama basi, sio unataja tu jina, ongezea details kama Kasoma wapi, Kafanya nini ,
Yupo wapi, n.k.