sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Hivi hawa jamaa waliishia wapi, nilisikia hapo ni Tunduma huko mkoa wa Songwe,, wakati ishu hii inatrend kuna wengine wa Arusha nao wakaanza kutengeneza yao.. iliishia wapi
Kwani tuko mbele kwenye kitu geni?Kidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo.
Najua hapa kwetu Tanzania kwenye suala zima la Teknolojia bado tupo nyuma lakini bado wapo wadau wanaopambana kwenye hii sekta na wanaweza kuwa inspiration.
Uzi huu weka mtanzania yeyote unaemjua ambae alifanya chochote kwenye tasnia ya teknolojia
iwe katoboa au lah it doesnt matter,
awe tu kafanya chochote katika medani za kiteknolojia... hata yule jamaa alietengeneza mashine ya kuingiza sarafu ili bomba litoe maji anahusika hapa.
Muwe mnaongezea na nyama basi, sio unataja tu jina, ongezea details kama Kasoma wapi, Kafanya nini ,
Yupo wapi, n.k.
Hizo ni nafasi za kuteuliwa mkuu,
Ndie mwamba wa Tunnel Guru nafkiri, yule jamaa anastahili heshima zake asee.Njunwa wa Mavoko..
Hata siijui picha yake lakini ni moja wa vijana aliefanya tuweze kutumia internet bure, alikuwa anasuka software zake zinazoweza kutumia internet bure kwenye pc, malipo yalikuwa ni shilingi elfu kumi kila mwezi utatumia bila kikomo, Pia kwa wale wazee wa dstv walikuwa na huduma yao unasafirishiwa dekoda maalum inayoruka viunzi
ajabu ni kwamba kasomea udaktariNdie mwamba wa Tunnel Guru nafkiri, yule jamaa anastahili heshima zake asee.
Mwamba sana aiseeNjunwa wa Mavoko..
Hata siijui picha yake lakini ni moja wa vijana aliefanya tuweze kutumia internet bure miaka ya 2010s, alikuwa anasuka software zake zinazoweza kutumia internet bure kwenye pc, malipo yalikuwa ni shilingi elfu kumi kila mwezi utatumia bila kikomo, Pia alikuwa wakala wa vpn zingine kama tunnel guru na aliweza kutusukia mafaili ya settings.
kwa wale wazee wa dstv nao walikuwa wanauziwa vingamuzi maalum kuruka viunzi.
Mwamba huyu alipewa maua yake mshiri bora JF Tech 2022 walipewa zawadi zaoMwingine wakuu ni Chief Mkwawa, huyu jamaa hapa Jukwaa la Tech amelibeba asee, anastahili ajengewe sanamu, kuna miamba hapa JF ikitagiwa mara mbili tu, ina anza kujimwambafy lakini huyo jamaa,nahisi hazipiti siku 2 hajatagiwa kuombwa msaada, na anakuelekeza mpaka utaelewa.
Huyu jamaa aishi milele.
Mwamba alisumbua sana ila vyoona miznguo kazamia kwenye maji kmyaNjunwa wa Mavoko..
Hata siijui picha yake lakini ni moja wa vijana aliefanya tuweze kutumia internet bure miaka ya 2010s, alikuwa anasuka software zake zinazoweza kutumia internet bure kwenye pc, malipo yalikuwa ni shilingi elfu kumi kila mwezi utatumia bila kikomo, Pia alikuwa wakala wa vpn zingine kama tunnel guru na aliweza kutusukia mafaili ya settings.
kwa wale wazee wa dstv nao walikuwa wanauziwa vingamuzi maalum kuruka viunzi.
Chief-MkwawaKidogo kidogo tunanyata kwenye mambo ya Teknolojia, lakini hata pole pole ni mwendo.