Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,655 Reaction score 2,506 Jun 6, 2023 #21 Wenye kampuni ya Ramani.io ambayo ndo ime raise investment ndefu kuliko zote kwa Tanzania lakini naona inapita chini ya radar, watu wanaijua Nala lakini Nala inaonekana wamehamisha ofisi Kenya.
Wenye kampuni ya Ramani.io ambayo ndo ime raise investment ndefu kuliko zote kwa Tanzania lakini naona inapita chini ya radar, watu wanaijua Nala lakini Nala inaonekana wamehamisha ofisi Kenya.
Gentlemen_ JF-Expert Member Joined Nov 24, 2019 Posts 4,431 Reaction score 13,876 Jun 6, 2023 #22 Mwenye kile kigari kilichobuniwa na UDSM em aweke hapa tuongeze siku za kuishi