Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

 
Kusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Sana

Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Asante kwa mawazo mkuu yaliyoshiba pia yanayojenga binadamu wenzako
 
200$ to 200$billion???? Ila hakuna kisichowezekana chini ya jua! Ila sasa hiyo 200$billion aliipata kwa muda gani na mtu huyo ni Nani?
 
200$ to 200$billion???? Ila hakuna kisichowezekana chini ya jua! Ila sasa hiyo 200$billion aliipata kwa muda gani na mtu huyo ni Nani?
Kamsome katika kitabu cha market wizard utawaona traders waliopita katika karne zilizopita kuna watu wanamjua Jef Benzos wa karne hii ya 21. Hawana history hata dola ya kirumi,Ottoman, Babylon ilivyotokea kuwepo hapa duniani
 
Naa

Naatombe Mushi sio mbaya uka share ideas zako mana sio kuwa MIE ndiye inverter or Innovator Wa Forex mkuu.
Weka hapa kwa manufaa ya wengine pia namie nikiwemo tujifunze. No man knows all.
SIO INVERTER NI INVENTOR....Vijana wa BRN mnachangamoto sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…