Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama hutaki andamanahahaha hapa nishushe arifu,,,,,,hivi unaijua 200$ billion?
"Kuna trader mmoja alitoa account yake from 200$ mpaka 200$ Billion"
Watu wamepatwa na stress kwa ajili ya hii kitu... poleni sana...
Shida iliyopo kwa binadamu wote nikiwemo namie hatupo tayari kuumia ndo mana masangoma na wachungaji hawataisha mana unahaidiwa miujiza ama kufanikiwa pasipo kufanya kazi. Neno la Mungu linasema kuwa tufanye kazi.
Cc: mahondaw
Asante kwa mawazo mkuu yaliyoshiba pia yanayojenga binadamu wenzakoKusikia Kwa Kenge Hadi Atoke Damu Puani
Ukikubali Kulaliwa Mwisho Utapasuka Utakuwa Kama Pono, Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Kulala Katikati Kuna Faida Zake Unapata Ya Dar es salaam Na Dodoma Katikati Ni Pazuri Sana
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Unajifunza *kuliwa* hela badala ya kulaMimi Ndo Najifunza forex
Unadhani mtoa mada anamjua Bezos?ni kweli silazimishwi lakini kwenye uongo lazima ukweli usemwe,,Jeff Bezos pamoja na utajiri alionao hajafikii hiyo $200 billion,,
Mpe siku 2 ajue alichoandika. Bilgate ndo top rich lakn ana 90 USD tu. Sasa 200 USD ndo nani mbn hatumjui huyu au yupo sayari ya zuhura??!!hahaha hapa nishushe arifu,,,,,,hivi unaijua 200$ billion?
"Kuna trader mmoja alitoa account yake from 200$ mpaka 200$ Billion"
Nikiliwa Ndio vizuri nitatoa ushuhuda Wenye uhakika kabisa kwamba forex wanakula tu hela za watu [emoji16]Unajifunza *kuliwa* hela badala ya kula
Yale YaleNikiliwa Ndio vizuri nitatoa ushuhuda Wenye uhakika kabisa kwamba forex wanakula tu hela za watu [emoji16]
90 USD kumbe!Mpe siku 2 ajue alichoandika. Bilgate ndo top rich lakn ana 90 USD tu. Sasa 200 USD ndo nani mbn hatumjui huyu au yupo sayari ya zuhura??!!
Kamsome katika kitabu cha market wizard utawaona traders waliopita katika karne zilizopita kuna watu wanamjua Jef Benzos wa karne hii ya 21. Hawana history hata dola ya kirumi,Ottoman, Babylon ilivyotokea kuwepo hapa duniani200$ to 200$billion???? Ila hakuna kisichowezekana chini ya jua! Ila sasa hiyo 200$billion aliipata kwa muda gani na mtu huyo ni Nani?
Endlea kuamini hivo hivo, dunia inakimbia wewe umelala. that is why tz hakuna broker hata mmojaForex pia ni wizi wa hela za wanyonge
SIO INVERTER NI INVENTOR....Vijana wa BRN mnachangamoto sana.Naa
Naatombe Mushi sio mbaya uka share ideas zako mana sio kuwa MIE ndiye inverter or Innovator Wa Forex mkuu.
Weka hapa kwa manufaa ya wengine pia namie nikiwemo tujifunze. No man knows all.