Tujuane ambao bado hatujaacha Forex

Wadau me nafikiri Keisangora kuanzisha hii thread ilikuwa sio kwa ajili ya kuscam au kujiproud watu wanamuattack na maneno mara forex ni uwizi ni uwizi usipokuwa na tekiniki ukiwala wewe si utakuwa unawaibia na wew ni mwizi pia

Mara wanakamsemo kao afford what u r willing to loose ndio huja masterforex vizur unaend kueka maisha yako hapo utachezea za uso

Hii biashara inahitaj muda,elimu jifunze technique na uwe umfuatialiaj mzuri wa maswala ya masoko hapo mambo yataenda vizur utaifurahia

Na sio whole day ni kutrade
watu wanachukulia forex ni rahisi na wanaliwa ela zao vizuri kwa sabab ya uvivu hawatak kujishughulisha kujifunza ndo maan wanasema ni uwizi

Alaf kitu kingine unaweza ukatafuta kuna maexpert wa forex wanakusaidia kutrade badala yako mwisho wa wiki wanachukua asilimia 20 ya faida yako makubaliano yenu hapo

Napia kuna forex company zinatoa auto trade chakufanya wewe ni kuchunguza logarithim zao tu hu utaifurahia forex

So biashara za kumuattack aliyeanzisha hii thread sio mpumbavu nimependa wazo lake kwamba tusaidiane
 
Wakuu kutrade manual Na kutrade kupitia EA kipi kizuri Na kina profit zaidi
 
Jifunze forex Kwa kiswahili kupitia group hili la telegram. t.me/Forexcartelcommunity
 
Tufafanulie mkuu meilleur ninachojua forex inatakiwa usome vitabu ili uweze kuifanya je kuna sehemu gani nyingine unaweza kuilewa bila vitabu?
Ukisoma kitabu nimuongozo mzuri ila unaitaji mazoezi kwa asilimia 70% akikisha unacho kisoma unakifanyia mazoezi na kama ukiona akilipi ki modify mpaka kianze kukulipa kwa 60% -80% kwavile mambo ubadilika maana sijaona 100% wining strategy mpaka leo

Sio uwongo izi data uwangaliwa kwa kila length ya miezi mitatu au kwa mwaka so you can have bad day bad week and month and sometimes a year..... ila kwa mda mfupi niliopo kwenye soko kila baada ya miezi mitatu kundi kubwa lawatu hukata tama na biashara hii na kundi kubwa uingia kwenye biashara hii kwa kupata ushauri kutoka kwa MTU aliyepewa ushauri kwa MTU mwingine kwaiyo kupata ile real advice imekua shida. muhimu tuwe wakweli nasio kuielezea biashara hii kwakutumia maneneo ya traders tulio wakuta ila. Tu tumie maneno yetu....

1.Nakumbuka wakati naanza kutrade EURUSD ilikua nipair inayosifika kutembea pips nyingi ila kwa sasa sioa kweli

2.Nakumbuka wakati naanza kutradeNFP ndo news iliyo kuwa INA sifika kutembea pips nying kwa sasa sio kweli

3.Nakumbuka wakati naanza kutrade ijumaa ilikua kwanzia SAA saba mchana soko waga Lina range ila kwa sasa sio kweli

Tujifunze kwenye forex tunaitaji kuwa dynamic sana kutokana na mabo yanavyo badilika na kutumia experience yetu kushauri watu wengine @kashebofx
 
Wakuu kutrade manual Na kutrade kupitia EA kipi kizuri Na kina profit zaidi
Vyote ni vizuri ila kutrade manual ni kuzuri zaidi maana naamini akuna kitu smart zaidi ya binadamu nimeshaona on a marobot mengi aya naga kitu cha stop loss yana close trade manually ambako kuna kitu kinaitwa slippage kipindi cha market crush maroboti kama haya uchoma mitaji yote kabla alija fuata risk management yake iliyowekewa. Na roboti alijuagi market mbaya au nzuri linafanya lilicho setiwa ila binadamu nirahisi kushtuka unacho kifanya akipo sawa. Au akilipi saw a nimaoni yangu tuu@kashebofx
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 15-30 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer https://secure.templerfx.com/main?rid=107946
 
TemplerFX | Promo
 
Trade = Patience + Money Management

Life
= Happiness +
Health
 
Kunashida ya kupata Broker anaendana na hali ya Tanzania; Msaada naomba
Pia kuweka pesa nirahisi kuliko kutoa hapo vp?
Je tunawezaje kupambana na matapeli? Ktk biashara hii ya Gorex
 
Kunashida ya kupata Broker anaendana na hali ya Tanzania; Msaada naomba
Pia kuweka pesa nirahisi kuliko kutoa hapo vp?
Je tunawezaje kupambana na matapeli? Ktk biashara hii ya Gorex
gorex tena
 
Trade for freedom risk your time and money probably 3-5 years kwa kuenjoy 30+yrs
 
hii setup naweza ipata wapi kwa tanzania?
 
Attachments

  • sssss.jpg
    24.3 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…