Helllo,
Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out naenda sehemu 3 tofauti.
Niko so fragile bila kuwa na demu permanent au stable mambo hayaendi kichwa hakikai sawa kabisa.
Karibuni kwa ushuhuda
Wadiz a.k.a Baharia