Cc: nkuwi Nando Th Name cute bNiko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!
Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?
Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
hata walivyofungwaga mengi na bayern,[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nina id moja tu istoshe najiamini pia Barcelona hawajawai niangusha
Muulize boatenghata walivyofungwaga mengi na bayern,
Nakumbushia tu.sababu ligi hiyo huwa siangalii
boateng jibu swali hilo.ha ha haMuulize boateng
hahaha yule jamaa wanamsingiziaMimi nipo Madrid kabisa hata kama yule jamaa wanasema ni bwabwa..
Elimu bure inamuhusu huyo
kibanda umiza
Daima wanaufanya mpira uwe mchezo mwepesiHuwez jutia kuwa Barcelona na wala MSN hawawezi kukuangusha
Madrid mpaka sasa hawaonekaniNiko kwa wanaoujua mafundi hawa Barcelona..!
Kuna watu wana akili mbaaya eti kuna wengine bila hata chembe ya aibu wanasema ni mashabiki wa Eti Man U, eti Chelsea kweli una akili zako timamu unaiacha barcelona unaenda kushabikia eti Chelsea?
Kweli kila binadamu ana ikichaa na wendawazimu wake albert Ainstein.
hahahhahaBarcelona 5 Madrid 1
mchezaji mmoja wa madrid atapewa nyekundu
Utatu mtakatifuforca barca, forca messi, forca neymar, forca Suarez
Mdrid hawaonekanimie pia nitakua kwa vijana wa catalunya
hatariiiiiiiBarcelona
Lazma tumuenzi Cruyff kwa ushindiMimi mwenyewe Barcelona.
baadae uje tena hapahapa na urudie maneno yakoHallah madrid, leo barca anakula 3 kwa moja nyumbani kwake
hahahhaahaMadrid ndio chama langu kwa leo lkn kila nikifikiria MSN dhidi ya beki la Madrid nahisi tumbo kuchafuka......!!!
All in all liwalo na liwe
una uhakika hatuonekani??Madrid mpaka sasa hawaonekani