Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Sisi ni wanazi wa EPL huku La Liga tunachangamsha damu tuKwa leo tu? Unakuwaje mshabiki kwa mechi fulani? Au ndio mshabiki wa kuazimwa? Au ni wale wafia EPL ila utamu wa kandanda ndio unakufanya uangalie el clasico?
Mimi kama jana na juzi na hata zamani ni mdau wa real madrid. Najua leo ngoma inogile na wale washenzi Waamerika Kusini wako juu sana ila naamini "mtume" Zizzou atawapanga vijana wake vizuri. Tight defending na counter za kufa mtu. Leo lazima Madrid alinde heshima bana.
hahaha...jipeni moyoKama kawaida....REAL MADRID....mlitudhalilisha benabeu...sasa ivi ni zamu yenu....nou camp itawaka moto!!
alaa...kumbe mpouna uhakika hatuonekani??
Tusikuone umerudi jukwaani football ni mbinu zizzou kathibitishaLeo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpiraView attachment 334201
Nilikuwa saloon fulani hivi, kinyozi mmoja akasema yaani leo MSN hawakosi chini ya goli 5, nataka kesho nikamuulize MSN waliibia ngapi au hata offside zilikuwa ngapiMjini kumetulia tuliii......Hongera Ronaldo....Hongera Real Madrid.....Poleni..MSN......Pole Barcelona......
hahaha japokua amefunga bao ila leo baba shakira lazma alale na viatu, benzema ni soo kapga goli mbele ya beki wanne wa barca, viva zizouNilikuwa saloon fulani hivi, kinyozi mmoja akasema yaani leo MSN hawakosi chini ya goli 5, nataka kesho nikamuulize MSN waliibia ngapi au hata offside zilikuwa ngapi
nibebee, nibeebe, nibembeleze nibeebe............wakuu hv lile bao la bale refa amelikataaje, koz jordi waliruka kwa pamoja na bale ila jordi akadunda kifuani mwa jamaa na kuanguka, hebu tujuzane kwa nn refa akachomoa bao, au ndo mcheza kwao hutunzwa?
......furaha iliyoje nao serengeti boys(t~stars) wadogo wamewakuunguta Mafarao ya Misri......liko jambo litatukia na hakuna atakaye amini!....madrid atashinda!..... japo mi nashabikia t~stars pekee
Utakula maneno yakoLeo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpiraView attachment 334201
Uache sasaLeo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpiraView attachment 334201
Leo Madrid akiifunga Barcelona naacha kushabikia mpiraView attachment 334201
kwl kabsa mkuu hakukuwa na sababu ya kukataa lile bao, hata ukiangalia wachezaji wa barca wenyewe walikua tayari wanapeleka mpira kati, refa ameboa kwa kwl.Pale mim sijaona sababu ya kukataa lile gori