Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

Kwa leo tu? Unakuwaje mshabiki kwa mechi fulani? Au ndio mshabiki wa kuazimwa? Au ni wale wafia EPL ila utamu wa kandanda ndio unakufanya uangalie el clasico?

Mimi kama jana na juzi na hata zamani ni mdau wa real madrid. Najua leo ngoma inogile na wale washenzi Waamerika Kusini wako juu sana ila naamini "mtume" Zizzou atawapanga vijana wake vizuri. Tight defending na counter za kufa mtu. Leo lazima Madrid alinde heshima bana.
Sisi ni wanazi wa EPL huku La Liga tunachangamsha damu tu
 
Mjini kumetulia tuliii......Hongera Ronaldo....Hongera Real Madrid.....Poleni..MSN......Pole Barcelona......
Nilikuwa saloon fulani hivi, kinyozi mmoja akasema yaani leo MSN hawakosi chini ya goli 5, nataka kesho nikamuulize MSN waliibia ngapi au hata offside zilikuwa ngapi
 
wakuu hv lile bao la bale refa amelikataaje, koz jordi waliruka kwa pamoja na bale ila jordi akadunda kifuani mwa jamaa na kuanguka, hebu tujuzane kwa nn refa akachomoa bao, au ndo mcheza kwao hutunzwa?
 
Nilikuwa saloon fulani hivi, kinyozi mmoja akasema yaani leo MSN hawakosi chini ya goli 5, nataka kesho nikamuulize MSN waliibia ngapi au hata offside zilikuwa ngapi
hahaha japokua amefunga bao ila leo baba shakira lazma alale na viatu, benzema ni soo kapga goli mbele ya beki wanne wa barca, viva zizou
 
wakuu hv lile bao la bale refa amelikataaje, koz jordi waliruka kwa pamoja na bale ila jordi akadunda kifuani mwa jamaa na kuanguka, hebu tujuzane kwa nn refa akachomoa bao, au ndo mcheza kwao hutunzwa?
nibebee, nibeebe, nibembeleze nibeebe............
 
Pale mim sijaona sababu ya kukataa lile gori
kwl kabsa mkuu hakukuwa na sababu ya kukataa lile bao, hata ukiangalia wachezaji wa barca wenyewe walikua tayari wanapeleka mpira kati, refa ameboa kwa kwl.
 
Back
Top Bottom