Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

Tujuane Kuelekea El Clasico ya Leo 2 APRIL

We jamaa umenikumbusha arseanl ya 2004-2005. Iliwafanya washabiki wao wakawa shida sana mtaani. Walinisababishia mpaka vidonda vya tumbo. Walikua nyoko sanaaa. Hawaamini kinachowatokea sasa.

Kwa upande mwingine washabiki wote wa soka tujifunze. Timu kuwa on-fire ni kama duara. Kuna kipindi mnakua vyema na kipindi mnashuka. Nadhani wengi tunakumbuka timu za Italia (AC Milan, Inter Milan, Juve na AS Roma) zilivyokua shida late 1990s na mwanzoni mwa 2000. Namkumbuka Kaka na AC Milan walivyokua wanatuabisha Man U. Sasa hivi hata UCL siwaoni. Iko wapi Liverpool iliyotoka 3down hadi kushinda UCL mbele ya AC? Wako wapi (kina sie) Man U waliompiga Barca nusu fainal na kisha kumchapa Chelsea final? Ziko wapi enzi EPL inaingiza timu tatu out of four nusu fainal UCL? Daaammn; glory days are gone, but will be back. Hata hii Barcelona ipo siku washabiki wake watakumbukia glory days siku moja.
Yametimia. Mimi kuna watu mpaka wananipa shida mtaani. Kipindi Man U ikiwa hot nilikuwa mpaka navaa t shirt ya CR7 ofisini makusudi. Saivi thubutu, tunapishana kama chui na paka.

YAMETIMIA YALIYOPATA KUNENWA NA MANABII.
 
LIGA
Real Sociedad stun Barcelona as Madrid sides close gap at top
La Liga, Anoeta - Real Sociedad 1 (Oiarzabal 5') Barcelona 0
 
Back
Top Bottom