KIDUDU
JF-Expert Member
- Sep 17, 2012
- 2,557
- 1,927
Mpenz njoo tena useme basi.barcelona for life
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpenz njoo tena useme basi.barcelona for life
barcelona for life hakuna tulichopotezaMpenz njoo tena useme basi.
Barcelona 5 Madrid 1
mchezaji mmoja wa madrid atapewa nyekundu
Yametimia. Mimi kuna watu mpaka wananipa shida mtaani. Kipindi Man U ikiwa hot nilikuwa mpaka navaa t shirt ya CR7 ofisini makusudi. Saivi thubutu, tunapishana kama chui na paka.We jamaa umenikumbusha arseanl ya 2004-2005. Iliwafanya washabiki wao wakawa shida sana mtaani. Walinisababishia mpaka vidonda vya tumbo. Walikua nyoko sanaaa. Hawaamini kinachowatokea sasa.
Kwa upande mwingine washabiki wote wa soka tujifunze. Timu kuwa on-fire ni kama duara. Kuna kipindi mnakua vyema na kipindi mnashuka. Nadhani wengi tunakumbuka timu za Italia (AC Milan, Inter Milan, Juve na AS Roma) zilivyokua shida late 1990s na mwanzoni mwa 2000. Namkumbuka Kaka na AC Milan walivyokua wanatuabisha Man U. Sasa hivi hata UCL siwaoni. Iko wapi Liverpool iliyotoka 3down hadi kushinda UCL mbele ya AC? Wako wapi (kina sie) Man U waliompiga Barca nusu fainal na kisha kumchapa Chelsea final? Ziko wapi enzi EPL inaingiza timu tatu out of four nusu fainal UCL? Daaammn; glory days are gone, but will be back. Hata hii Barcelona ipo siku washabiki wake watakumbukia glory days siku moja.
Lakini walau leo kitandani nitapumua. Naomba ugomvi uishie huku huku walau.barcelona for life hakuna tulichopoteza
Too sad. Mmeliwa tena.Kama kawaida....REAL MADRID....mlitudhalilisha benabeu...sasa ivi ni zamu yenu....nou camp itawaka moto!!
Hivi ulirudi jukwaani kweli?Kwa leo mimi nitakuwa Barcelona chini ya jemedari Lionel Messi Mchezaji hatari zaidi kumshuhudia.
Je wewe upo upande upi?
nipo nimejaa teleHivi ulirudi jukwaani kweli?
Kumbe ulikuwa hujui.Duh kweli mpira unadunda
we acha tuKumbe ulikuwa hujui.
nahisi umekosea hii post!!! ushindi wa 2-1 bado tumeliwa mkuu?Too sad. Mmeliwa tena.
Ooh, unataka statistics? Na hizi pia ni stats za mchezo huo huo!!!Ball possession 68%