Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

T-shirt zipo rangi tofaut tofauti ni nzuri na zito kwa 18,000 karibuni
IMG_20220803_154058_500.jpg
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.View attachment 2308790
Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA
 
Nipo dar tabata

Nauza gauni nne za harushi zimetumika mara mbili kwa 370,000 tu!

Kea wahotaji kwa ajili ya kutumia, kukodisha, kuuza n.k nichek kea namba hii

0783391278
Screenshot_20220713-134859.jpg
IMG_20220713_134118.jpg
IMG_20220713_134819.jpg
IMG_20220713_134708.jpg
IMG_20220713_132146.jpg
IMG_20220713_130545.jpg
IMG_20220713_131225.jpg
IMG_20220713_133143.jpg
IMG_20220713_133203.jpg
 
Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA[/
[/QUOTE]

Hivi broo unahofia Nini kuanzisha uzi wako utangaze biashara yako ya asali mbona jf ni jukwaa huru. Kipi unaogopa Hadi kudandia post za watu unaweka matangazo yako tumevumilia tumechoka. Huu upumbavu wa kuweka tangazo upo Sana Facebook Sasa naona umeamua kuuleta huku pia NCHABHILONDAA
Mbona kama umemvamia Bure mkuu, lengo la Uzi si watu waweke biashara zao au?
 
Nit
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.View attachment 2308790
Nita prove vipi ya kwamba hii ni ya nyuki wadogo au wakubwa?
 
Kiukweli fursa hii inamuhusu mtu yeyote aliye karibu na mjasiriamali haswaa mwenye uwezo wa kutumia simu[smartphone] au kompyuta [japo si lazima]. Kwa mjasiriamali mwenyewe soma barua yako iliyounganishwa na uzi huu.

Kwa mtu binafsi unaweza kudownload na kuchapisha maelekezo ya kujiunga kisha kuwapatia[au ‘sharing’ kwa magrupu admins watakushukuru sana wadau wako]/kuwauzia wajasiriamali walio karibu nawe [kuuza flier nanenane].
Lakini pia ukiufanyia mazoezi mtandao utaweza kutoa huduma ya kuwaunganisha wajasiriamali ili kuwafungulia mabanda/duka ya maonesho mtandaoni. Kama tu ambavyo watu hufanya ‘Tunaunganisha whatsapp/twitter na facebook na kurusha nyimbo….’ au ‘Tunasajili TIN na BBRELA’ namna hiyo
🐣


Kazi kubwa za mtandao huu ni hizi hapa, yaani kupitia mtandao utaweza; 1. kuwa na banda/duka, 2. kuuza na kununua bidhaa zenye maelezo na bei zake, 3. kujitambulisha/kutoa elimu kwa njia ya makala/blogu, 4. kupata wateja toka sehemu zote duniani watakaokuja kujionea bidhaa za wajasiriamali toka kila sehemu Tanzania. 5. kuweka anuani[address] na mawasiliano yako ili kupokea maswali ya wateja na oda zao. Utajibu pia maswali yao kadri wanavyotumia bidhaa zako

NB: Hakuna malipo yoyote kujiunga wala kutumia huduma hizi, faida yake inapatikana pale watu wengi wanapotembelea wauzaji wengi walio sehemu moja na hivyo kununua kwa wajasiriamali wengi zaidi. Naiita ‘nanenane effect’ ambayo wajasiriamali wote wanaohudhuria maonesho wanaifahamu fika. Karibuni.
 
Tunauza mayai mabichi ya kisasa, tunapatika dar es Salaam. Jumla kuanzia trey 5 (jumla kwa sasa alfu 9 trey 1) na rejareja alfu 10 trey 1. Bei zote ni pamoja na trey za box mpya. #Karibuni sana. [emoji1241]

KUMBUKA: Utalipa baada ya kupata huduma. Na huo muonekano wa mayai pichani ndio bidhaa zetu zilivyo sio mambo ya mitandaoni tu. Tupigie 0715 494920 & 0783 708437. JINA: YUSUFU KAWAMBWA.
1371717441.jpg
eggs-online-2.jpg
 
Back
Top Bottom