Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Mwanza. Chimbo la vifaa vya simu Kwa bei ya jumla tafadharKISESA MWANZA, FUNDI SIMU NA NINAUZA VIFAA VYA SIMU, NIKO KARIBU NA HOSPITALI YA KISESA
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanza. Chimbo la vifaa vya simu Kwa bei ya jumla tafadharKISESA MWANZA, FUNDI SIMU NA NINAUZA VIFAA VYA SIMU, NIKO KARIBU NA HOSPITALI YA KISESA
Mkuu HP 40. Tsh ngapi?!!Uchumi wa blu 15hp 2.5 milionView attachment 2324118
Ya Tshet tupu laki 8 na nusu. zipoWale wa kariakoo, nikipata heat press machine(T-shirt printing machine) ninayo uhitaji mkubwa sana hii mashine
Nyakisasa Empire, Kampuni ya kukusanya madeni.Kutoka DSM, najihusisha na ujasiliamali wa kutengeneza viungo vya chakula, detox tea, unga wa lishe maalum kwa ajili ya watoto, wagonjwa wenye upungufu wa kinga pamoja na wamama wanaonyonyesha, natengeneza mafuta ya kukuza nywele na bidhaa nyinginezo za urembo.
Hua naandaa pia kwa ajili ya brand za watu so ukihitaji tunazungumza..... nakuandalia unaenda kufungasha Kwa Lebo yako hata kama upo mikoa mingine ya Tz au nchi jirani.
Ninatoa ushauri wa kitaalam kuhusiana na maandalizi ya bidhaa hizi ili uweze kuzalisha katika ubora unaokubalika Kwa matumizi ya binadamu.
hivi mtu akitaka kuanzisha hii biashara unaweza kumuandikia vipodozi vyenye sokoView attachment 2383316
View attachment 2383318
View attachment 2383319
View attachment 2383320
View attachment 2383321
View attachment 2383322
View attachment 2383323
View attachment 2383324
View attachment 2383326
View attachment 2383327
View attachment 2383328
View attachment 2383329
View attachment 2383330
Karibuni nauza Vipodozi kwa Jumla na rejareja pia
Tunapatikana Kariakoo Mtaa wa Mafia
0755-155782
elezea vizuri hii ni nn?KUNA MZIGO UNAITWA AKAYABAGU KUTOKA BURUNDI [emoji1060] tuonane kwa wenye mahitaji ya jumla jumla
Jamani picha za duka Zima kha?
hivi mtu akitaka kuanzisha hii biashara unaweza kumuandikia vipodozi vyenye soko