Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

Tujuane wadau wa biashara, ulipo na bidhaa zako

Namba yangu 0768480963
1648529119334.jpg
 
Wale wa kariakoo, nikipata heat press machine(T-shirt printing machine) ninayo uhitaji mkubwa sana hii mashine
Ulishaipata hii machine? Mimi nauza 5in1 na Epson printer kwa laki 9 tu. Iko full na vifaa vya kuprint kofia,vikombe na sahani,vipya.
 

Attachments

  • IMG-20211117-WA0004.jpg
    IMG-20211117-WA0004.jpg
    46 KB · Views: 27
  • IMG-20211117-WA0005.jpg
    IMG-20211117-WA0005.jpg
    59.2 KB · Views: 31
Forcewill Company, Tunauza Vifaa vya umeme wa majumbani na viwandani. Tuko Mbezi mwisho karibu na bar maarufu ya Lubumbashi
 
GB "GANZI BOY STUDIO"

Morogoro town.. nipo na chimbo langu ofisi flani hivi ya Library.. nauza movie na vifaa vya simu.

Mtaalamu wa hizi kazi... Big up sana
 
Mimi nauza majiko ya euron na tv za TCL kuanzia 32 mpka 85 na fridge. Freezer na ac za majumbani 0715088880
bd1aa23346f34dd08e8f1d3cc84848da.jpg
IMG-20221020-WA0017.jpg
IMG-20220908-WA0023.jpg
 
Themi enterprises
Watengenezaji na wauzaji wa viungo vya chakula kwa jumla na reja reja,
Tupigie kwa 0763152615
 
Simple sana

Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali

Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783

Nauza nguo za watoto kutoka China na Uturuki, Napatikana Makumbusho stand kwenye jengo la Ma Plaza
Instagram natumia jina la Mimakids_Fashion
Ka sana
 
Ruit- beauty products!! Ni watengenezaji wa sabuni na lotion kutokana na matunda ya asili!! Kwa ngozi laiini na nyororo isiyo na madoa wala mapunye. Tunapatikana Morogoro. Tunauza jumla na rejareja ndani na nchi. Kwa mawasiliano piga 0712504240.
 
Dodoma kikuyu kwa wahitaji wa vinywaji vyote jumla na reja reja karibuni.0627530690
 
Bryte Sky Links is a “Registered” business that deals with the following services:



-> Web Designing.

-> TRA Online services.

-> Logo, Banners, Poster Designs.

-> Social Media Advertisements.

-> Business name & Company Registration.

-> Airline Reservations and Bookings.

-> Passport Applications.

-> Visa Applications.

-> Study Abroad Programs.

(+ Scholarships included)

-> And other I.T related services..

Karibu tukuhudumie.
049CEEAD-48C2-444A-AB2E-0048A8827965.jpeg
 
Simple sana

Uzi huu ni maalum kwa wafanyabiashara na mjasiriamali yeyote wa mkoa wowote tujuane tupate connection za bidhaa mbalimbali

Mtoa uzi - Tarime Mara - duka la soft drinks 0782741783
Mpqka serikali irakapoweja sheria ya kutulinda wakosoaji ndipo tutareveal identities zetu.

Hatuokotwi kirahisi
 
Kwamahitaji ya mtumba wa
Laptops bags
Safari bags
School bags
Hand bags nitafute
 
ofa ya majiko ya gas ya kioo elfu 69000,kampuni ya ruby gbc na dorado brand new, nipo tabata kimanga
 
Social Media Banner.jpg

Karibuni wanaJF! Tunatoa huduma zetu kwa ufanisini mkubwa na kwa bei nafuu..

Tunapatikana Jengo la White Beach Park, Tanki Bovu, Mbezi Beach, Dar es Salaam.

Contact us for more details
 
Kwa mahitaji ya proteins supplements, fat burners & pre workout. Check me Dm
 
Back
Top Bottom