Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiongozi fanya mchanyato tujue tunakutana lini na wapiHabari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu
Inshaallah tutaonana mie npo huku ila kubanwa sana na kuzunguka sana kanda ya ziwa.
Pasaka tutaila wote charminglady si eti mama utafanya logistics??
Nyasaka stand
Hivi yale magari ya TX yalipoteleaga wapi, nakumbuka namba zake zilikuwa nyekundu
Katibu hebu itisha mkutano tukutane wana mwanza, ikibidi tukutanie ile hotel ambayo mabaazazi wanaipenda pale iloganzala
cc: Mlezi wa JF Rock City Arushaone
Hello umesoma Isenga ps??
Miaka ipi?
Isamilo-opposite furahisha au kwa pedeshe kitana
Mkuu sijakuelewa unamaanisha wanao ishi mwanza au waliotokea mwanza kwa sasa wanaishi pande zungine? Mm natokea Nakato isagang'he.
Yaani wewe ndo jirani kabisa mi nakaa majengo mapya.
Karibia na kwa six.
inaitwa Isegeng'he kwa kisukuma, lukiri majita.
1985-1991
akili yako mbona haifananagi kabisa naunapoishi, nadhan utakuwa unaishi zile kota za mabati magereza...
hivi mjeda wa hiyo bar bado yupo?
Duh aisee, isenga ni ya zamani kumbe