Upo hapo kiseke ppf tangu lini?Tumejaa tele kama pishi la ubwabwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upo hapo kiseke ppf tangu lini?Tumejaa tele kama pishi la ubwabwa
Nyegezi corner ndo kitaa changu
Wale wa Kiseke PPF
Tumejaa tele kama pishi la ubwabwa
Duh, ww jirani kabisaa Karibu na kwakitinga? kama unaenda kirumba police? jirani na kanisa hapo? ebu tutafutane bhana......
kumbe jirani yangu! Ha ha haaa. Nataka kuhama Dar, nirudi huko
Ha ha ha mkuu umefika mbali. Nadhani hiyo hotel ndiyo ninayo izungumzia.
Tehtehteh, hotel iko kajifcheni ila kuna noah safi sana pale
First time nlipelekwa na jamaa mmoja anaitwa Kime, walaji kmoto watakuwa wanamjua. Ile hotel ni km nyumba ya mtu yani imekaa kiaina dah fly park banaaa, mambo ya ILOGANZALA hayo
kumbe jirani yangu! Ha ha haaa. Nataka kuhama Dar, nirudi huko
Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Mkuu sijakuelewa unamaanisha wanao ishi mwanza au waliotokea mwanza kwa sasa wanaishi pande zungine? Mm natokea Nakato isagang'he.