Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Kona ya kwenda Brewaries upande wa kulia kuelekea Airport. Sio kiwanja maarufu sana ila kwa maelezo ya jamaa hapo ni karibu na kwake na strong ruler

Ok ninapajua hapo, dah opposite kuna hotel moja mabaazaz wanaipenda sana, asante mkuu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ingawa sipo kitambo ila hiyo ndio mitaa yangu typical nayajua hadi mashimo ya barabarani.
Igogo huko tena, igogo ipi sasa Morafu, Pepsi, au mlimani?

Hahahaa, dah! kweli mkuu naona huwa tunapishana tu mimi mwenyewe hiyo ndiyo mitaa yangu mkuu, mihangaiko tu ndiyo ilinitoa huko.
 
Nami wa huko huko. Pia mkazi wa Ununio Dar. Mbunge wangu Kiwia
 
Wewe jirani yangu, biashara unazifanyia hapo sokoni kwetu kirumba au wap? Mimi pia naishi kirumba karibia na iliyokuwa moonlight hotel.

Duh, ww jirani kabisaa Karibu na kwakitinga? kama unaenda kirumba police? jirani na kanisa hapo? ebu tutafutane bhana......
 
Hivi yale magari ya TX yalipoteleaga wapi, nakumbuka namba zake zilikuwa nyekundu


umenikumbusha mbali TX. tulikuwa tunapangana barabarani tukiwa tunatoka shule Isenga p/school. yakipita magari ya TX utasikia yangu
 
Katibu hebu itisha mkutano tukutane wana mwanza, ikibidi tukutanie ile hotel ambayo mabaazazi wanaipenda pale iloganzala

cc: Mlezi wa JF Rock City Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom