Tujuane wana JF wa Mwanza

Habari za muda wana jamvi, leo nataka tufahamiane wana JF tunaotokea hapa Mwanza, unaeza uka comment mahali ulipo, lengo ni kufahamiana jamani, karibuniiii
Kiongozi fanya mchanyato tujue tunakutana lini na wapi
 

Inshaallah tutaonana mie npo huku ila kubanwa sana na kuzunguka sana kanda ya ziwa.

Pasaka tutaila wote charminglady si eti mama utafanya logistics??
 
Last edited by a moderator:
Will be poa sana mamii

Inshaallah tutaonana mie npo huku ila kubanwa sana na kuzunguka sana kanda ya ziwa.

Pasaka tutaila wote charminglady si eti mama utafanya logistics??
 
Last edited by a moderator:
nitake radhi bana mi simo kwenye ile midudu ya kupiga mikasi.
 
Hizo ndo shule za mwanzo kabisa kata ya nyamanoro,ilikuwepo isenga, mwenge, nyamanoro na kiloleli (isenga na kiloleli tulikuwa tunawaita wakuja, walikuwa washamba) tulikuwa tunakutana kwenye umitashumta na kwenye maandamano.

Duh aisee, isenga ni ya zamani kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…