Tujuane wana JF wa Mwanza

Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...

Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.

Ulukolokwitanga niaje chief. Hao sangara utanifanyia mpango siku1 as ndg zangu pande za Dar na Sumbawanga hwaoni umuhimu wa mie kupatikana IGOMA-Mwanza.
 
shooters club-Kirumba

Mkuu Noah unachukua kwa bei gani kwa kilo? Huku kwetu Kayenze Ndogo wafugaji kibao wa Noah ila jamaa wanachukua bei ndogo, naskia hapo shooters kitu Noah hadi kongoro lake linapatikana
 

inabidi tuorganize if possible tuwe na mwenyekiti kabsa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…