Tujuane wana JF wa Mwanza

Tujuane wana JF wa Mwanza

Kule mkuu ni Kayenze kubwa, kata ya Sangabuye...

Kayenze ndogo ni hapa kutoka airport kama unaenda Igombe, kata ya Bugogwa,,, tunao mwalo maarufu sana kwa Sangara na Dagaa. Hapa kila siku sherehe tu.

Ulukolokwitanga niaje chief. Hao sangara utanifanyia mpango siku1 as ndg zangu pande za Dar na Sumbawanga hwaoni umuhimu wa mie kupatikana IGOMA-Mwanza.
 
Preta, mbona niko isamilo sijawahi kukuona mum!
Mleta mada, tulishaitana sana wana mwanza tukutane lakini watu hamtokei, tulishakutana kama mara mbili pale rock beach (mgahawa wa wachina) lakini watu hamjitokezi, tunaokutana ni watu wale wale wawili watatu

inabidi tuorganize if possible tuwe na mwenyekiti kabsa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom